jengo

  1. Ubalozi wa Japani watoa dola 140,103 kwa ajili ya kujenga jengo la darasa katika shule ya Wasichana Sakura jijini Arusha

    Ubalozi wa Japan ulifanya hafla ya utiaji saini Mradi wa Ujenzi wa Kitalu cha Darasa la Kiwango cha Juu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sakura iliyopo Wilaya ya Arusha, Mkoa wa Arusha. Serikali ya Japani ilikubali kuongeza msaada wa ruzuku hadi kufikia Dola za Marekani 140,103 kwa...
  2. Waziri Mchengerwa atoa miezi miwili kwa mkandarasi kukamilisha jengo la TAMISEMI

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa amempa mkandarasi anayejenga jengo la TAMISEMI katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma miezi miwili kuhakikisha anakamilisha ujenzi, ili ifikapo Juni Mosi mwaka huu jengo hilo lianze kutumika rasmi...
  3. DOKEZO Jengo la Walimu katika Shule ya Msingi Nsololo (Tabora) lililoezuliwa paa limetelekezwa mwezi wa pili sasa

    Jengo la Shule ya Msingi Nsololo lililoezuliwa paa limetelekezwa Walimu wanakaa chini ya miti Nimefika Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, kuna jambo limenisikitisha na baada ya kuwauliza Wenyeji, nguvu ndio zimeniisha kabisa. Nimeambiwa huu sasa ni mwezi wa pili na nusu kuna jengo la Walimu katika...
  4. Papa anasema Trump kufanya deportation ni kuwafanyia mateso wahamiaji. Basi sawa baba, tuanze na wewe, waruhusu maelfu waje kwenye haya majengo yako

    Baba mwenyewe anapoishi pamezungushiwa ukuta
  5. KTK NDOTO YAKO YA UJENZI - FAHAMU MAKADIRIO YA GHARAMA UJENZI WA ILE NYUMBA JENGO LAKO

    Kwanini Ujenge kwa kukisia kisikisia? Uanze ujenzi wako bila kujua utahitaji nguvu kiasi gani... Utapata stress 📲 +255 657 685 268 Kujua makadirio Ujenzi inakusudia kujua unahitaji nguvu kiasi gani kujua gharama Ujenzi kila steji kama msingi, kuta, paa... unapotaka kuomba mkopo benki...
  6. Ni makosa ya kiufundi kuandaa mdahalo katika jengo la TLS ambalo Mwabukusi ni Rais wake, na anamunga mkono Lissu hadharani, haki isingetendeka

    Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke. Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
  7. Hili jengo litaleta sura mpya visiwani

    Nimeiona hii huko mtandaoni sihitaji kueleza;
  8. Dkt. Biteko akagua ujenzi wa ofisi ya Waziri Mkuu na Jengo la Wizara ya Nishati

    Dkt. Biteko akagua ujenzi wa ofisi ya Waziri Mkuu na Jengo la Wizara ya Nishati
  9. Akili za mtu mweusi zinashangaza , unanunua jengo la Billion 1.6 baada ya hapo unasema hauna hela ya uchaguzi!.

    Chama Chadema kuna watu waliokosa maono . Tundu lissu , yupo sahihi kutokubali kukichangia hiki chama I agree with him. Mimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi . Kulikuwa kuna haja gani ya kununua jengo la billion 1.6 wakati tunashindwa kugharamikia uchaguzi...
  10. A

    Kukosekana kwa jenerata jengo la dharula Hospitali ya mkoa wa Morogoro ni aibu

    Leo Usiku nilipata Dharura ya Kuuguliwa na Mke wangu majira ya saa 6 usiku ikabidi nimkimbize hospitali ya Nunge kisha hapo Tukapewa Rufaa kuelekea Hospitali Ya Mkoa wa Morogoro Baada ya Kuwepo kwa nusu saa kwenye Jengo la mapokezi na Dharura ambalo ni jipya na zuri umeme ukakatika, basi ndugu...
  11. Lugumi akabidhi jengo la ghorofa 7 kwa watoto

    WATOTO ZAIDI YA 800 WAJENGEWA GHOROFA SABA ZA KUISHI DSM Watoto yatima zaidi ya 800 katika Mkoa wa Dar es Salaam wamejengewa ghorofa saba za kuishi ili kuhakikisha kundi hilo la watoto linaishi sehemu nzuri kwa ajili ya malezi yaliyo bora Ghorofa hizo zimejengwa na Mfanyabishara nchini...
  12. Freeman Mbowe: Mojawapo ya faida ya maridhiano ni kununua jengo Mikocheni la Tsh Bilioni 1 na laki 6 taslimu

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo, Mbowe amesema kuwa mojawapo ya faida ya maridhiano ni chama hicho kununua jengo lao la Bilioni 1 na laki 6 ambalo liko Mikocheni. Mbowe amesema kuwa kupitia maridhiano na Rais Samia, CHADEMA waliweza kuanza kuchukua ruzuku ambazo ndizo zilitumika kununua jengo...
  13. NSSF Kutekeleza Mradi wa Uwekezaji wa Jengo la Ofisi na Jengo la Kitega Uchumi Dodoma

    NSSF KUTEKELEZA MRADI WA UWEKEZAJI WA JENGO LA OFISI NA JENGO LA KITEGA UCHUMI DODOMA *Ni katika eneo la Njedengwa, kujenga hoteli ya nyota 5 *Mkuu wa Mkoa asema uwekezaji huo utachochea uchumi na utalii Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), unatarajia kufanya...
  14. Wamiliki wa Jengo lililopo mtaa wa Msimbazi na Agrey Kariakoo wameamua kuchukua hatua la kulibomoa

    Kiukweli nawapongeza wamiliki wa jengo hili kuona umuhimu wa kuliboboa jengo ambalo ni la muda mrefu tena limeshaanza kuonyesha ishara mbaya. Bila shaka wamejifunza pakubwa baada ya kuporomoka kwa jengo la kariakoo na kusababisha vifo kadhaa vya watanzania na hata biashara zao kuharibika...
  15. Jengo la Wizara ya Ujenzi Lafikia Asilimia 80, Waziri Ulega Aagiza Likamilike kwa Wakati

    JENGO LA WIZARA YA UJENZI LAFIKIA ASILIMIA 80, WAZIRI ULEGA AAGIZA LIKAMILIKE KWA WAKATI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuagiza Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi na Umeme (DTES), Mhandisi, Mwanahamisi Kitogo na Mtendaji Mkuu wa Vikosi vya Ujenzi, Mhandisi, Simeon Machibya kuhakikisha jengo la...
  16. Jengo lipo Wapi hili watembezi? Kuna watu

    hawajawahi pishana NAO....
  17. L

    Jengo jipya la Bunge la Cameroon ni alama ya ushuhuda wa urafiki wa kunufaishana kati ya China na Cameroon

    Hivi karibuni, China imekabidhi funguo za jengo jipya la Bunge la Cameroon kwa Spika wa Bunge hilo, Cavaye Yeguie Djibril katika hafla iliyohudhuriwa na maofisa wa serikali, wanadiplomasia, na wageni wengine waalikwa. Spika Cavaye amesema, jengo hilo ni kubwa zaidi, zuri zaidi na lenye kuvutia...
  18. Maisha lazima yaendelee: Maduka jirani na jengo lililoporomoka yafunguliwa Kariakoo

    Maisha lazima yaendelee. Ni kauli za wafanyabiashara kwenye maghorofa mawili yaliyo pembeni ya lile lililoporomoka katika soko la Kariakoo ambao sasa wanaendelea na shughuli zao za kibiashara. Majengo hayo mawili yalitakiwa kuchunguzwa usalama wake, mara baada ya ajali ya kuporomoka kwa jengo...
  19. Mmiliki wa jengo la Kariakoo tayari amekamatwa. Kwanini anafichwa?

    Wakuu, Ukurasa wa X wa East Africa TV wamepost kuonesha kuwa mmiliki wa jengo la Kariakoo amekamtwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba, ametangaza kuwa mmoja wa wamiliki wa jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo, na kusababisha vifo vya watu 29 pamoja na majeruhi kadhaa, tayari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…