Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Mhagama ameuhakikishia umma wa wanaruvuma kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendele na uboreshaji wa huduma za Afya ikiwemo upatikanji wa vifaa, vifaa tiba pamoja na dawa.
Waziri Mhagama amesema hayo Septemba 20, 2024 baada ya...
Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuhakikisha tija na ustawi wa wauguzi, madaktari na watumishi wote wa Sekta ya Afya kupata stahiki zao pamoja na kuwasimamia na kufuatilia wajibu wao katika kutekeleza majukumu yao ikiwemo kuwa na lugha zenye staha kwa wagonjwa (Customer Care).
WAZIRI...
Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuhakikisha tija na ustawi wa wauguzi, madaktari na watumishi wote wa Sekta ya Afya kupata stahiki zao pamoja na kuwasimamia na kufuatilia wajibu wao katika kutekeleza majukumu yao ikiwemo kuwa na lugha zenye staha kwa wagonjwa (customer care).
WAZIRI...
JENISTA MHAGAMA: HUDUMA ZAIDI YA 35 ZA KIBOBEZI ZINAPATIKANA MUHIMBILI
Na WAF - Dar Es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewezesha upatikanaji wa huduma za Ubingwa Bobezi zaidi ya 35 katika Hospitali ya Taifa Muhimbilli (Mloganzira na Upanga)...
WAZIRI JENISTA MHAGAMA: HADI NOVEMBA 10 MIFUMO YOTE YA AFYA ISOMANE KURAHISISHA HUDUMA ZA TIBA KWA WAGONJWA
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ametoa maelekezo kwa Idara ya Tiba Wizara ya Afya kuhakikisha wanasimamia mifumo yote ya Afya isomana ili kurahisisha huduma za Tiba kwa wagonjwa...
Jenista Mhagama akabidhi vifaa kuimarisha kitengo cha mawasiliano na elimu ya afya kwa umma
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Septemba 3, 2024 amekabidhi vifaa vya studio vitakavyosaidia Kitengo cha Mawasiliano na Elimu ya Afya kwa Umma kufanya kazi kwa ufanisi zaidi katika kuhabarisha umma...
Kwa niaba ya watanzania, Mhe. Mhagama naomba pitia huu ushauri kuhusu wizara ya Afya na msaada kwa wananchi.
Serikali chini ya Rais wetu mama Samia naomba muanzishe HEALTH INFORMATION CALL CENTER.
Kuna wananchi hua wanahangaika sana wakati wamepatwa either na magonjwa au ajali wameumia nk...
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee..
PIA SOMA
Jenista Mhagama ana CV tosha, uongozi...
Rejea kichwa cha habari.
Harafu baadae tutaenda kutengua na kubadilisha Waziri tena. Ndiyo maana hakuna ufanisi. Sijui vetting huwa inafanyikaje huko jikoni?
Pia soma: Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika
====
Dr. Liduine Baradahana -...
Ujumbe wa Tanzania washiriki Mazoezi ya ‘Walk the Talk’
Brazzaville, Congo
25 Agosti 2024
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, wameungana na mgombea wa Tanzania kwa nafasi ya Mkurugenzi wa...
Ninaamini una uwezo na msikivu. Mtego wako mkubwa katika sekta ya afya uko kwenye kusimamia MTBA (NHIF). Fanya haya utakuja nishukuru baadaye:-
1. Tehama haijawekwa vizuri - ili ku-control madai, collusion kati ya watoa huduma na NHIF staff; madai yalitakiwa yawe processed 80% electronically na...
Hawa ndo wametufanya masikini ndo tunawapigia magoti..
Let our oppressors apprehend that their days are dwindling, for the tempest of justice inexorably advances towards their doorsteps.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAFURIKO YA MLIMBA MKOANI MOROGORO
Mobhare Matinyi, Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Mlimba, Morogoro, Alhamisi, Aprili 11, 2024: Saa 10:30 jioni.
1. Leo Alhamisi ya tarehe 11 Aprili, 2024, Kamati ya Kitaifa ya...
Waziri Mhagama: Wanambinga Mhalule Chagueni Viongozi Wawajibikaji
Serikali kupitia Halmashauri ya wilaya ya Songea Vijijini yaahidi kushughulikia na kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ardhi katika kitongoji cha Msiri na Hifadhi ya Maliasili kilichopo katika kijiji cha Nakahengwa.
Kauli hiyo ameitoa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama ametoa wito viongozi kuhakikisha wanawapatia wenyeviti wa Mashina wa Chama cha Mapinduzi taarifa muhimu za utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ili waweze kuzielezea vyema kwa Wananchi.
Waziri Mhagama ametoa kauli hiyo...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jensita Mhagama (Mb) Peramiho, amewapongeza Wenyeviti wa Mashina na Kata kwa kazi nzuri wanayofanya ya kulinda na kukipigania Chama Cha Mapinduzi.
Pongezi hizo amezitoa wakati alipokutana na kufanya vikao na Wenyeviti wa Mashina...
Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Bunge Sera na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya nane ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuboresha mazingira ya elimu yanayoendana na adhma ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.
Waziri Mhagama ameeleza hayo...
WAZIRI Jenista Mhagama AWASHUKURU PPRA KWA MISAADA YA WASHIRIKI WA MAAFA HANANG'
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ameupongeza Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Mamlaka ya Ununuzi na Udhubuti wa Umma (PPRA) kwa kutambua na kuungana na Serikali...
Imeelezwa kuwa kundi la vijana kati ya umri wa miaka 15 mpaka 24 wanaongoza kwa kuchangia maambikizi mapya ya VVU – UKIMWI ambayo ni sawa na Asilimia 40 (40%).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameyasema hayo mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.