Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga, Jeremiah John Jilili amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Solwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025.
Jilili sasa ni rasmi atamvaa mbunge wa jimbo hilo aliyehudumu kwa miaka 20 sasa Ahmed Salum Ally, na hii itakua ni...