DC Jerry Muro ni DC kijana na mchapa kazi kwani katika wilaya yake anewezesha uanzishwaji wa Shule ya mchepuo wa kingereza yaani English Medium.
Katika mkoa wa Arusha kuliwahi kuwa na Shule ya English Medium ijulikanayo kama Arusha School ambayo mfadhili wa Simba Mo Dweji alipata kusoma hapo...
Nawaza tu huyu mtu alipataje huu ukurugenzi wa NEC cheo ambacho kinahitaji mtu wa kujiamini kweli kweli. Katokea wapi huyu mtu?
Je, vetting ilifanyika sawasawa kabla ya uteuzi? Tutegemee jipya gani?
Mkuu wa wilaya ya Arumeru mh Jerry Muro amesema watendaji wa vijiji wamekuwa na tabia ya kuwataka wakuu wa wilaya watoke ofisini kwenda kuchoma moto mashamba ya bangi ilhali wao madc walishakatazwa na Rais Magufuli.
Muro amesema hayo wakati wa mkutano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha na viongozi...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa leo Jumatano tarehe 8 Mwezi April 2020 alipokuwa akizungumza katika Kipindi bora cha Michezo cha Mchana chaa Kipenga Extra kinachorushwa na Redio bora kabisa ya Kiswahili Afrika Mashariki ya East Africa Radio Msemaji wa Klabu Kubwa, bora na iliyobarikiwa...
Rais Dkt. Magufuli ulimtumbua upesi yule Mtumishi wa Halmashauri ya Kilosa Ndugu Daniel Maleki ambaye alikuwa ni Afisa Kitengo cha Biashara kwa Kosa la Kuchana Kitabu Kitakatifu cha Quran kinachotumiwa na Waislamu, ila tunashangaa ni kwanini hadi hivi sasa hujamtumbua Mkuu wa Wilaya Jerry Muro...
Jana ilikua siku nzuri sana kwangu kama shabiki wa yanga, ushindi wetu dhidi ya gwambina kwenye mechi yetu kombe la shirikisho ulikonga nyoyo za wananchi kokote duniani. Ewe mkuu jerry muro mwanayanga mwenzangu nikiri tu kuwa nimekuwa nafurahishwa na namna unavyoiongelea yanga.
licha ya style...
Umeona kuwa Kesho Yanga SC yako ikicheza na Gwambina FC katika Kombe la ASFC kwa Udhaifu na Uchanga wa Timu hiyo ya Gwambina leo umejifanya Kujitokeza katika Vyombo vya Habari na kusema kuwa Kesho Yanga SC itaibuka na Ushindi mnono na kuwataka wanayanga wote wajazane Uwanjani kuishangilia Timu...
Umofia kwenuuu wanabodi!
Awali ya yote ningependa sana kumpongeza Dc Jerry Muro kwa jitihada zake za kuingilia Kati sakata hili la mali za marehemu .Naomba tuutumie uzi huu kama njia ya kumpa ushauri mheshimiwa DC wa namna ya kushighulika na sakata hili!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana...
Wana JF
Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa basi husika alitoka kwa ajili ya kujitetea baada ya kupakia abiria sehem isiyo husika.
Kama kuna...
DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile
Huu ndio mfano wa...
YADHIHIRIKA MURO ANATEMBEA NA KIFO MKONONI, ALAZIMIKA KUISHI MAFICHONI
Yule Daktari aliyepigwa risasi iliyomkosa mtangazaji wa habari za uchunguzi wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC1) Jerry Muro, Dk. Paul Andrew ametoboa siri kwa kusema kuwa kitendo chake cha kujeruhiwa mguuni kwa risasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.