jerry silaa

Jerry William Silaa
Jerry William Silaa (1982) ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi, August 2023 aliteuliwa na Rais Samia Suluhu kuwa Waziri wa Ardhi, Nyuma na Maendeleo ya Makazi.
  1. Roving Journalist

    Jerry Silaa: Mfumo wa Kielektroniki wa Anwani za Makazi (NaPA) utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva

    Mfumo wa kielektroniki wa Anwani za makazi (NaPA) ambao una programu tumizi yaani ‘Application’ utasaidia kuboresha huduma za usafiri na usalama wa abiria na madereva ambapo kwa kutumia simu janja madereva wanaweza kupakua application hiyo itakayowarahisishia kumfikia mteja kwa haraka kwa kuwa...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Diwani Maganga: Bora nikose Udiwani kuliko Silaa kukosa Ubunge!

    Wakuu, Kazi kwelikweli, uchawa unatumaliza! ==== Diwani kata ya Zingiziwa, Maige Maganga amewataka Viongozi na Wananchi wa Zingiziwa na Jimbo la Ukonga kwa ujumla kujivunia uongozi wa Mbunge wao, Mheshimiwa Jerry Silaa kutokana na maendeleo makubwa aliyoyaleta katika jimbo hilo tangu awe...
  3. Roving Journalist

    Waziri Jerry Silaa: Ujenzi kituo cha bunifu za TEHAMA(STARTUPS) Tanga mbioni kuanza

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia vijana wa mkoa huo kujikwamua kiuchumi. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 23 Januari, 2025...
  4. Roving Journalist

    Waziri Silaa: Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro kitachochea shughuli za kiuchumi Tanzania na Kenya

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa uwepo wa Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro, kinachounganisha Tanzania na nchi ya Kenya, kutachochea shughuli za kiuchumi kati ya nchi hizo mbili pamoja na nchi nyingine za...
  5. Roving Journalist

    Waziri Silaa Afungua Milango ya Ushirikiano kwa CoRI Kujadili Masuala ya Sekta ya Habari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa, amesema licha ya kufungua milango ya ushirikiano kwa Wadau wa Sekta ya Habari kuifikia ofisi yake wakati wowote, anawaalika kuwa tayari kusema, kusikia, na kukubaliana na hali halisi. Waziri Silaa alitoa kauli hiyo leo...
  6. Pfizer

    Waziri Silaa aweka bayana mkakati ya kuwezesha Idara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia kupitia ushirikiano na Wanahabari

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na...
  7. Roving Journalist

    Pre GE2025 Waziri Silaa akishiriki Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi wa 2024 na 2025

    Waziri Silaa akishiriki katika Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025, leo Jumatatu Novemba 18, 2024. Mkutano huu unafanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam Endelea kufuatilia taarifa zaidi... JERRY SILAA...
  8. benzemah

    Je, Jerry Silaa amemgomea Rais Samia kufanya kazi katika Wizara ya Habari?

    Kwanza kabisa nikiri wazi nakubali sana uchapakazi wa Jerry Silaa (Mb) hasa alivyokuwa Wizara ya ardhi. Lakini kama tujuavyo mteuliwa hana maamuzi ni wapi afanye kazi, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu aliamua kumuondoa Wizara ya Ardhi ambapo sote naamini tunakumbuka hekaheka zake akamhamishia Wizara...
  9. The Sheriff

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF): Waziri Silaa ameshindwa kuwa karibu na Waandishi wa Habari

    Jerry Silaa, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kutoridhishwa na kitendo cha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, kukosa kuhudhuria mikutano muhimu ya wadau wa habari. Mwenyekiti wa TEF, Deodatus...
  10. Roving Journalist

    Jerry Silaa: Barabara ya lami ya KM 7.7 yenye thamani ya Tsh Bilioni 9.3 kuunganisha mikoa ya Singida-Simiyu-Arusha

    Wakazi wa Wilaya ya Iramba na Mkalama, Mkoani Singida, wanatarajia kunufaika na barabara ya kiwango cha lami inayojengwa kuunganisha mikoa ya Singida, Simiyu, hadi Arusha. Mradi huu, wenye thamani ya shilingi bilioni tisa, umefikia asilimia 65 ya utekelezaji. Waziri wa Habari, Mawasiliano na...
  11. chiembe

    Jerry Silaa amepwaya Wizara ya Habari? Sasa aamua kuzindua miradi ya Maji, Vituo vya Afya na Chuo cha ufundi Mkalama ambazo si za Wizara yake!

    Sehemu yenye mfumo rasmi ndio kipimo tosha cha umahiri. Leo nimeona habari kwamba Jerry Silaa alikuwa ana ziara jimbo la Mkalama kuzindua mradi wa maji, kituo cha afya, na chuo cha ufundi jimbo la Nkalama. Najua kwamba Wizard hizo zina miradi mingi kiasi kwamba ni ngumu kwa mawaziri wake...
  12. Suley2019

    Uteuzi: Jerry Silaa ateua Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote

    TAARIFA KWA UMMA Kwa mujibu na mamlaka aliyopewa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) chini ya kifungu cha 7(1)(c) cha Sheria ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ya mwaka 2009 na kifungu cha 66 (a)() cha Marekebisho ya Sheria Na. 4 ya...
  13. Roving Journalist

    Jerry Silaa: Walimu 300 wa Sekondari nchini kupatiwa mafunzo ya TEHAMA

    Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia inaendelea kuhakikisha inaziba pengo la kidijitali kwa kuwapatia walimu wa shule za Sekondari mafunzo ya TEHAMA kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, hususan shule za vijijini ili kuboresha elimu kupitia teknolojia. Waziri wa Habari, Mawasiliano...
  14. Roving Journalist

    Waziri Jerry Silaa amteua Mhandisi Mwasalyanda kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)

    TAARIFA KWA UMMA Kwa mujibu na mamlaka aliyopewa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) chini ya Kifungu cha 9 (1) cha Sheria ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ya Mwaka 2009 amemteua Mhandisi Peter Phillip Mwasalyanda kuwa Afisa...
  15. Raia Fulani

    Waziri Jerry Silaa yupo wapi?

    Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi? Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo...
  16. N

    Uko wapi Jerry Slaa? Vifurushi vya Intaneti vinaisha haraka

    Waziri wetu u wapi weye, sie tukiweka mabando yaisha within short time. Few days ago internet ilisumbua haswaa, saizi bando linaisha haraka. Je, ni bei zimepanda indirect ama ndo mnatupea adhabu tusiingie mtandaoni? Internet ni uchumi. Serikali isinyamaze, Jerry FANYA mamboo. Siamini kama ni...
  17. Mkalukungone mwamba

    Waziri Jerry Silaa: Avunja Bodi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN)

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) kwa mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa Sheria ya Mashirika ya Umma Na. 2 ya mwaka 1992 ameivunja Bodi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN) kuanzia tarehe 18 Septemba, 2024. Kampuni hii ya Magazeti ya...
  18. Roving Journalist

    Pre GE2025 Ukonga-Dar: Jerry Silaa agawa majiko ya gesi kwa mama lishe na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kulinda mazingira

    Mbunge wa Ukonga ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amegawa majiko ya gesi ya kupikia kwa mama lishe jimboni kwake, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuhamasisha...
  19. Mookiesbad98

    DOKEZO Baada ya Jerry Silaa kuondoka Ardhi, Papa Msofe aibuka na kutaka kudhulumu ardhi Salasala

    Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu. Papa Msofe anadai anamiliki ardhi yapata miaka 7 hajawai kwenda wala serikali ya mtaa haimtambui kama ni mmiliki na ardhi hiyo karibu...
  20. Influenza

    Baada ya Wenyeviti kuondolewa, Waziri Jerry Silaa avunja Bodi za TTCL, Shirika la Posta (TPC) na UCSAF

    TAARIFA KWA UMMA Kufuatia Utenguzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania uliofanywa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 23 Julai, 2024, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa...
Back
Top Bottom