Jerry William Silaa (1982) ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi, August 2023 aliteuliwa na Rais Samia Suluhu kuwa Waziri wa Ardhi, Nyuma na Maendeleo ya Makazi.
Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.
Jerry Silaa amesema amesema...
Mbunge wa Ukonga kupitia CCM, Jerry Silaa akilia baada ya kumaliza kuchangia mjadala wa kupitisha makadikio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Jijini Dodoma leo.
Silaa amemwaga machozi akieleza kuwa Kampuni ya Syno Hydro iliyopewa zabuni ya...
Akichangia bajeti ya wizara ya ujenzi na uchukuzi leo bungeni, Mbunge wa Ukonga amesema licha ya Rais Samia kuonya mkandarasi mmoja kupewa tenda nyingi kwa wakati mmoja, Wizara husika iliipa kandarasi Kampuni ya kichina ya Sino hydro, ujenzi wa awamu ya tatu ya mradi wa mwendokasi Mbagala...
Mbunge wa Ukonga akichangia bajeti ya Wizara ya Habari na Mawasiliano leo Bungeni, amesema licha ya Serikali kuwa na Kituo cha Taifa Cha Takwimu za Mtandao (NIDC) na Mamlaka ya Serikali ya Mtandao (eGA) ambayo inasimamia mifumo ya Tehama ya serikali bado nchi yetu haina Mfumo Mkuu wa Kanzidata...
Mbunge wa Ukonga, Jerry Slaa ametoa hoja ya kusimamisha ratiba ya Bunge ili kujadili hoja ya vijana waliojiajiri katika usafiri wa bodaboda na Bajaj ambao kulikuwa na taarifa wamezuiwa kuinjia maeneo ya Mjini Mkoani Dar es Salaam.
Slaa alitoa hoja hiyo Bungeni leo Alhamisi Aprili 21, 2022...
Ni yeye Silaa
Amesema hayo leo Jijini Dar es Salaam
Silaa ambaye ni Mbunge wa kuchaguliwa akiwakilisha jimbo la uchaguzi la Ukonga amesema nia yake hiyo ni kutaka kuonyesha umoja na madereva wote wa bodaboda nchini Tanzania.
Ikumbukwe, Mamlaka za Serikali ndani ya mkoa wa Dar es Salaam hivi...
Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa uhuru wa kujieleza kwa kila raia wake bila tashishwi ili mradi tu, uhuru huo hauingilii, kuvunja kutweza na kufanya dhalili haki ya watu wengine kutumia uhuru wao kama ulivyotolewa na katiba yetu.
Ibara hiyo inatanabahisha wazi...
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wananchi wengi hawakubaliani na serikali kwenye suala la chanjo za korona.
Huhitaji kufanya utafiti wa kina kujua ukweli wake kwa sababu utapata maoni ya wananchi kwenye video za YouTube katika channel kama Millard Ayo ambazo hazifungamani kisiasa katika...
Hii ni kwa kutuona je?
1. Kadhia ya mbunge Jerry Silaa ambapo yeye akiwa Mbunge na bila kushawishiwa na mtu anaona wabunge akiwamo yeye hawalipi kodi stahiki.
2. Wananchi tunajua zipo njia nyingi ambazo watu wasiokuwa na uzalendo huzitumia kukwepa kulipa kodi.
3. Hukumu ya bunge kwa mbunge...
Ukifuatilia jinsi wabunge wanvyo mjadili mtu unashindwa kuelewa hawa wawakilishi walitumwa nini huko bungeni.
Swala la tozo linaumiza mwananchi Hakuna hata wa kuligusia lakini ukisikia wanavyomjadili Silaa na Gwajima utafikiri ndo hayo waliomba kura wakayajadili huko bungeni.
Jerry Silaa
KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemkuta na hatia Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, katika tuhuma za kudharau mhimili huo na kupendekeza asimamishwe kuhudhuria mikutano miwili mfululizo, pamoja na kuondolewa uwakilishi wa Bunge katika Bunge la Afrika (PAP)...
Mimi nashangaa kidogo jinsi mambo yanavyokwenda dhidi ya mashtaka ya wabunge Mch. Gwajima (Kawe - CCM) na Jerry Silaa (Ukonga - CCM) ambapo mjadala unaendelea hata sasa niandikapo hoja hii...
Tayari m/kiti wa kamati ya "kuhoji" wenzake ameshasoma taarifa ya mahojiano na mapendekezo ya hatua...
Thrd hizi tunajaribu kudadavua kwa nini Silaa alisema Wabunge hawalipi kodi. Ofisi ya Bunge inasema Wabunge wanalipa kodi, ikimaanisha PAYE. Upande wa pili, Spika akitumia nguvu nyingi sana kumtia adabu Silaa kwa matamshi yake.
Nionavyo, ni kweli Wabunge wakisaidiwa na ofisi ya Bunge, wanakwepa...
Hii inasomeka hivyo kwenye twitter account ya Joseph Mbilinyi a.k.a Mr Sugu
Je hii ni kweli au kulikuwa na confusion ya tarehe na muda aliotakiwa kufika mbele ya kamati...?
Inasemekana pia kamati ya Haki, Kinga na maadili ya bunge haikumpelekea wito rasmi wa barua mbunge huyu zaidi ya kusikia...
Dodoma.
Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa amefika katika Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa baada ya jana Kamati hiyo kutoa ombi kwa Spika wa Bunge Job, Ndugai kutaka akamatwe.
Kamati hiyo iliomba kukamatwa kwa mbunge huyo na kufikishwa katika kikao cha kamati saa...
Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka amesema ameomba kibali kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai cha kukamatwa kwa mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa baada ya kutofika katika shauri lake.
Silaa alihojiwa mara ya kwanza na kamati hiyo Agosti...
Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano.
Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa...
Wakuu Wabunge Josephat Gwajima (CCM, Kawe) na Jerry Silaa (CCM, Ukonga) ambao ni wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge wameondolewa kwenye kamati hiyo hadi itakapoamuliwa vinginevyo.
Nini Kitatokea mbeleni Tungoje, Kwa Mtindo Huu Wanaweza Hata Kupewa Adhabu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.