jerry silaa

Jerry William Silaa
Jerry William Silaa (1982) ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi, August 2023 aliteuliwa na Rais Samia Suluhu kuwa Waziri wa Ardhi, Nyuma na Maendeleo ya Makazi.
  1. Pre GE2025 Rais Samia amewaomba Wakazi wa Ukonga kumshika Mbunge wa Jimbo hilo Jerry Silaa

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaomba Wakazi wa Ukonga kumshika Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Jerry Silaa kwakuwa ni Waziri anayefanya kazi vizuri. Rais Samia amesema hayo leo August 01,2024 akiwa Pugu njiani kuelekea Dodoma...
  2. J

    Waziri Jerry Silaa akabidhiwa Ofisi Wizara ya Habari na Katibu Mkuu wa Wizara, Bw. Mohammed Khamis Abdulla

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tehama mh Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi ya Wizara yake mpya Jerry Silaa amekabidhiwa Ofisi na Maafisa Waandamizi wa Wizara ========= MAKABIDHIANO YA OFISI KWA JERRY SILAA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb)...
  3. Barua ya Wazi kwa Jerry Silaa, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Bei za vifurushi vya data zipungue

    ๐’€๐’‚๐’‰: ๐‘ผ๐’๐’Š๐’๐’ˆ๐’‚๐’๐’Š๐’‡๐’– ๐’˜๐’‚ ๐‘ฉ๐’†๐’Š ๐’›๐’‚ ๐‘ฝ๐’Š๐’‡๐’–๐’“๐’–๐’”๐’‰๐’Š ๐’—๐’š๐’‚ ๐‘ซ๐’‚๐’•๐’‚ ๐’๐’‚ ๐‘ด๐’‚๐’Š๐’”๐’‰๐’‚ ๐’š๐’‚ ๐‘พ๐’‚๐’•๐’‚๐’๐’›๐’‚๐’๐’Š๐’‚ ๐— ๐—ต๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—บ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—๐—ฒ๐—ฟ๐—ฟ๐˜† ๐—ฆ๐—น๐—ฎ๐—ฎ, ๐—ช๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐—ฒ๐—ธ๐—ป๐—ผ๐—น๐—ผ๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ, ๐——๐—ผ๐—ฑ๐—ผ๐—บ๐—ฎ, ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ. Mheshimiwa Waziri, Kwanza kabisa, napenda kukupa pongezi nyingi kwa kuteuliwa kwako kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  4. N

    Kuna haja ya nchi kubadili Sheria za uongozi

    1.Jerry Silaa ni mbunge anatumikia mhimili wa bunge ambao unapaswa kujitegemea. 2.Jerry Silaa ni waziri anatumikia serikali ambayo nayo ni mhimili unaojitegemea 3.Jerry Silaa ni wakili wa mahakama kuu hivyo anatumikia mhimili wa mahakama ambao pia hupaswa kujitegemea. Wakati nikiwa kijana...
  5. Vipi mipango ya Jerry Silaa ndio imeisha

    Itakumbukwa ni mwezi tu umepita bajet ya wizara ya ardhi chini ya Jery Silaa imepitishwa na baada kupitia jamaa a alianza na gia kali ya kuzunguka nch nzima kurudisha ardh iliyo ibiwa na matapeli wa ardhi walio tapakaaa nchi nzima Nimeamin matapeli wakikuamulia wanaweza kukutoa kweny nafsi...
  6. B

    Waliong'ara ktk nafasi zao kama Jerry Silaa, Paul Makonda kwanini huondolewa

    Ni nini kinasababisha Waliongara ktk nafasi zao kama Jerry Silaa, Paul Makonda kwanini huondolewa Tuliona aluyekuwa waziri wa ardhi Jerry Silaa akifanya kazi vizuri na kutoa elimu kwa umma juu ya masuala ya umiliki ardhi, usimamizi wa mirathi n.k buree kwa raia kiasi wananchi Kutokana na...
  7. Jerry Silaa kutolewa ardhi, tutarajie tena migogoro ya ardhi kuanza kuibuka upya na matapeli wa ardhi kuanza kutembea vifua mbele

    Niaje waungwana Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana. Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani...
  8. R

    Mbona Jerry Silaa hajadiliwi kama Nape na Makamba wanavyojadiliwa na kukebehiwa katika kutenguliwa?

    Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni? Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani hapo ardhi?
  9. Waziri Jerry Silaa ukishaapishwa, tunaomba utuletee Star Link Tanzania

    Habari za majukumu Waziri Mteule wa Habari, Sisi wananzengo, tunakuomba ukishaapishwa tu, jambo la kwanza la kutilia mkazo katika vipaumbele vyako ni Internet ya Elon Musk. Tunaomba Star Link wapewe vibali hapa Tanzania maana mtangulizi wako alikataa kata kata. Tunaomba usije ukawekwa mfukoni...
  10. Peter Kibatala alibeba kisheria suala la mwananchi aliyeamuliwa kuwekwa ndani na Waziri Jerry Silaa huko Morogoro

    Mr. Jerry Silaa and You call Yourself a "Lawyer"?!. Yaani a member of Tanganyika Law Society can behave in this most abhorrent way;like seriously? My brother Alberto Msando: don't You talk to these Junior people [honestly I cannot refer to him as a lawyer] to school them on how to behave when...
  11. Jerry Silaa na matumizi mabaya ya Madaraka: Waziri kapata wapi mamlaka kuwaweka mahabusu watanzania?

    Vifungu vya 7 na 15 vya Sheria ya Tawala za Mikoa ya mwaka 1997 imempa mamlaka Mkuu wa mkoa kuweka Mtu mahabusu Kwa masaa 48 (kif.7). Mkuu wa wilaya sheria imemruhusu kumweka Mtu ndani Kwa masaa 24 (kif.15) pale inapothibitika Mtu Huyo anร hatarisha Amani ya mbele yake. Nimejaribu kuisoma sheria...
  12. Jerry silaa apewe u dk wa heshima kijana anapambania ardhi za wanyonge sana mapapa wamekosa amani nae

    Kati ya wizara inayonikosha kwa mama samia n wizara ya ardhi Hii wizara ilijawa na wahunj kila anaeingia anataka kujaza na ardhi mkononi mwake na kusahau majukumu yaliomteua Kati ya wizara bora mama amefanya uteuzi n wizara ya ardhi Mdogo wetu kiumri jerey silaa kwanza una shida ana ingilika...
  13. Naibu Waziri Pinda akutana na watumishi wa sekta ya Ardhi Kigoma

    Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amekutana na kufanya kikao na watumishi wa sekta ya ardhi mkoani Kigoma leo tarehe 6 Julai 2024. Katika kikao hicho Mhe. Pinda alipata fursa ya kusikiliza changamoto za watumishi katika mkoa huo kwa lengo la kuzitafutia...
  14. Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa aingilia kati mgogoro wa ardhi wa Wananchi na Kampuni ya Tanzania Road Haulage

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Wananchi wapatao 246 na muwekezaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage katika eneo la Kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi hao wanadai kutolipwa malipo...
  15. 3

    Kujua hatma ya wananchi kupewa hati ya viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni na Wizara husika

    Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
  16. Waziri Jerry Silaa sikia kilio cha huyu mama

    Shikamoo Mheshimiwa Shikamoo Kaka Shikamoo Kiongozi Shikamoo Kiongozi Mtenda Haki DHUMUNI la kukuandikia waraka huu, kwasababu wewe ni mmoja ya viongozi ambae amekuwa anawatendea sana haki watu wanaodhurumiwa au kutaka kudhurumiwa mali zao(ardhi), maana dhuruma za ardhi nyingi zinatokana na...
  17. Jerry Silaa anatuonesha jinsi mfumo wa utoaji haki ulivyooza...

    Kila maamuzi anayotoa Waziri wa Ardhi na Makazi na maendeleo ya Nyumba, Jerry Silaa ujumbe anaoutoa ni kwamba mifumo ya utoaji haki kwenye Taifa letu imeoza. Mabaraza ya Ardhi mpaka mahakama zetu zinatoa maamuzi yake kuhusu migogoro ya Ardhi kwa kuegemea zaidi mambo ya kiufundi (technicalities)...
  18. Jerry Silaa kuwe na utaratibu wa kusikilliza Wananchi kila mwezi mara 2 Mpaka 3 kuna mikasa ya aibu ya dhuluma za ardhi wanakimbilia mahakamani

    Kwako ndugu yangu, namshukuru mungu kwa aliekuchagua anajua makusudi yake Hakika wananchi wameumia wanateseka sana na wahuni wapiga dili viwanja vya watu Hawa wahuni wana channel ndefu sana naamini mungu amekuleta kuwasaidia wananchi. Naomba kama inawezekana uonnane na wananchi hata mara...
  19. Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa apiga marufuku uuzaji wa viwanja mitaani

    Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na ameagizo pia makampuni yote yanayouza viwanja...
  20. Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa aagiza wanaotuhumiwa kusababisha migogoro ya ardhi Mbondole (Ilala) wakamatwe

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Watu kadha ambao wanatuhumiwa na Wananchi kwa kusababisha migogoro ya ardhi na kuuza maeneo kinyume na taratibu kwa wakazi wa Mbondole, Kata ya Msongola Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Waziri Silaa ametoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ