jerry slaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Diwani wa kata ya Zingiziwa: Nipo tayari kukosa udiwani kuliko kushuhudia Jerry Slaa anakosa Ubunge katika uchaguzi ujao

    Huko CCM nikadhani uchawa ni kwa mwenyekiti wao tu kumbe hadi wabunge sasa hivi wanafanyiwa uchawa? Madiwani mmekuwaje lakini? ======================================== Diwani kata ya Zingiziwa, Maige Maganga amewataka Viongozi na Wananchi wa Zingiziwa na Jimbo la Ukonga kwa ujumla kujivunia...
  2. Mindyou

    Waziri Jerry Slaa aingilia kati sakata la kukosekana kwa huduma za mitandao ya simu. Aiagiza TCRA kuchukua hatua

    Wakuu, Kwa siku mbili tatu hizi kumetokea changamoto kubwa ya mtandao kwenye upande wa MPESA ambapo watu wamekuwa wakipata changamoto katika kutokea na kupokea pesa kupitia mitandao ya simu. Soma pia: Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo...
  3. N

    Rais Samia bring back Jerry Silaa Wizara ya Ardhi

    Sijawahi kuipenda CCM tangu uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi wa mwaka 1995 kipindi hicho nakumbuka nilikuwa darasa la tano. Lakini nilikuwa navutiwa na utendaji wa baadhi ya viongozi wa serikali ya CCM katika idara mbalimbali mfano wa viongozi hao wa chache ni Lyatonga Mrema, Samuel...
  4. NGOSWE2

    Waziri Jerry Silaa, Wananchi wa jimboni kwako wanauliza kwanini kwako hautatui?

    Habari waungwana! Leo katika pitapita zangu mitaa ya jimbo la Ukonga, nimekutana na mjadala unaohusu ardhi na utoaji hati miliki za ardhi kwa urasimu. Nilipotaka kujua kulikoni tena nyumbani kwa Mheshimiwa, jibu nililopewa ni kuwa maagizo na mikwala yote tuinayo kwenye televisheni aitoayo...
  5. M

    Jerry Silaa hapa umeonyesha Kiburi cha Mamlaka na hii haikusaidii na haiisaidii nchi jirekebishe

    Umeenda Kihonda, umetaka wananchi waeleze kero zao za ardhi. Mwananchi anakueleza wewe unamuinterrupt kwa kejeli na dharau kuwa "Hutaki kuhutubiwa". Huyo mwananchi pengine ana watoto, ana mke, ana ndugu na jamaa wanaoheshimiana naye- Wewe unamjibu kwa nyodo na kumuitia Polisi wamchuke. Hii...
  6. Revolution

    Natoa pongezi kwa Jerry Silaa na Paul Makonda kwa kushughulikia matatizo ya Watanzania maskini

    Nikiwa kama mwananchi ninapenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa hawa Waheshimiwa wawili. Kwa kweli wamekuwa ni viongozi wa mfano ambao kwa kiasi kikubwa wanashughulikia matatizo ya watanzania maskini na wenye uhitaji. Hivi ndivyo viongozi wote wanapaswa kuwa na ili kuweza kumsaidia Mhe. Rais...
  7. BigTall

    Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka, Waziri Silaa fuatilia kinachoendelea

    Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro wa ardhi baina wakazi wa Tungutungu Kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo pamoja na “kigogo”, nimefika mara kadhaa eneo hilo ni vilio vilio. Mgogoro huo ulikuwa ukifukuta kimyakimya lakini kwa sasa umepamba moto kutokana na nyumba za wakazi wa eneo hilo...
  8. R

    Jerry Slaa amejitolea pesa kufungua kesi ya madai kusaidia wananchi waliobomolewa nyumba kinyume na Sheria

    Salaam, Shalom!! Ndugu Respis Brasius mkazi wa Unga Limited ameahirisha kujitoa uhai wake baada ya kuvutiwa na hotuba ya ndugu Jerry Slaa aliyoitoa Bungeni kuhusu utatuzi wa migogoro ya Ardhi. Iko hivi, Don Mmoja Unga Limited alishinda case mwaka 2012 iliyohusu baadhi ya wananchi kuvamia...
  9. R

    DOKEZO Waziri Jerry Slaa, kuna mpango wa ufisadi upimaji wa viwanja eneo la Uwanja wa Ndege Tabora. Viongozi wa Ardhi na Mkurugenzi wanachezewa mchezo

    Sina exactly eneo ila inaelezwa nyuma ya uwanja wa Ndege Tabora kuna eneo lenye zaidi ya Hekari mia nane linalomilikiwa na wananchi . Inaelezwa kwamba wananchi wameomba ilo eneo walipime wenyewe wakakataliwa badala yake wakaambiwa ofisi ya Ardhi ina kampuni za upimaji za watu binafsi watawapa...
  10. R

    Jerry Silaa, migogoro ardhi inatokana na watumishi wa idara ya ardhi. As long as hujawagusa, tatizo litabaki kuwa kubwa

    Unafanya kazi nzuri, nimeona Tanga katika kesi mbili ulizozimaliza. Kesi ya Tahameed moja kwa moja kuna collusion ya watendaji wa idara ya ardhi. Wanarekodi zote, haiwezekani Tahameed akajua kuwa kiwanja fulani hakina mtu. Ni kuwa wanacollude na idara ya ardhi na kufanya uhalifu huo. 1...
  11. P

    Je, kuna siasa katika utatutizi wa migogoro ya ardhi unaofanywa na Jerry Silaa?

    Mimi ni muumini wa watu wote wabunifu wanaopanga kutatua kero za wananchi. Waziri Slaa anaonekana kuwa mbunifu baada ya kuja na clinic za kutatua kero za migogoro ya ardhi. Jana akiwa Mbeya alionekana akitoa maamuzi ya mgogoro wa mtu anayeonekana ni Mchina ambaye kwa mujibu wa Waziri watu...
  12. M

    Jerry Slaa Kumbuka waonee huruma wananchi wa Sae Mbeya

    Leo alfajiri Tarehe 13/4/2024 limepita gari la matangazo katika jiji la Mbeya na vitongoji vyake kwamba waziri wa ardhi atakuwa ukumbi wa mkapa kusikiliza na kutatua KERO. Slaa unajua uamuzi wako uliotofautina na WA mtangulizi wako Lukuvi unavyowatesa wananchi wanaotakiwa kubomolewa makazi Yao...
  13. S

    Jerry Slaa: Nilishirikiana na Msama kupora eneo la shule ili amilikishwe mjane wa kigogo

    Jinai ni jinai tu, hata kama jinai hiyo inatendwa ili kumsaidia mjane wa kigogo. Kwenye clip hii (kuanzia dakika ya 1 na sekunde 3), Jerry Slaa anakiri kushirikiana na Msama kufanikisha mpango wa kumsaidia mjane wa kigogo mmoja kulinunua eneo la shule ya sekondari. Slaa aliitenda jinai hii...
  14. Erythrocyte

    Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM. ==== Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
  15. chiembe

    Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana. Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry...
  16. Jaji Mfawidhi

    Jerry Silaa anaweza kupunguza matapeli Ardhi? Wana mtandao, wamejazana wizarani, wana makampuni!

    Kwenye ardhi kuna utapeli wa kila aina ndio mana lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi alipiga marufuku baadhi ya makampuni yaliyokuwa yanapima viwanja na kuuza maana walisababisha migogoro mingi sana ya ardhi. Viwanja vinatangazwa kwenye maspika katika vituo vya daladala kama vile nguo za ndani...
  17. Jaji Mfawidhi

    Samia tangu arithi Urais 2020's, Jerry Silaa Pekee ndio mtendaji, Wengine wapeni jina!

    Jerry Slaa pamoja na mapungufu yake kisiasa hasa kulaumiwa kwa ubovu wa Barabara za Kivule na Gongo la Mboto kitu ambacho kinahitaji bajeti kubwa na inatoka kwenye wizara na ni nje ya uwezo wake, amejifumua uozo na urasimu uliopo kwa makamishan wa ARdhi Pale Wizarani Dar es salaam na Kibaha...
  18. Mr Sir1

    KERO Jerry Slaa, jimbo lako linakuhitaji barabara mbovu mno

    Jerry Slaa hebu weka muda kidogo kutoka kukataa hongo ya mil. 300 uje uangalie njia za Ukonga hasa ya Kitunda kuelekea Mwanagati. Hali ni mbaya mno huku. Hatujakuona toka ulipokuja kupiga kampeni.
  19. J

    Waziri Jerry Slaa: Mimi siyo Mtoto wa Maskini, baba yangu alikuwa Rubani. Nimekataa Rushwa ya Milioni 300

    Waziri wa Ardhi mh Jerry Slaa amesema kuna Wanasiasa wanaona Sifa kujiita Watoto wa Maskini Lakini yeye siyo Maskini baba yake alikuwa Rubani na hadi leo anakula hela ya Urithi. Mh Slaa ametuma salamu kwa mafisadi wote kwamba yeye hana Njaa na hapokei Rushwa kwa sababu Biblia imesema mla Rushwa...
  20. GENTAMYCINE

    Nasikitika wengi Wenu hamjatumia Akili Kubwa kumuelewa Waziri Jerry Slaa na Kauli yake juu ya Kupokea Rushwa

    Tuliosoma vyema Somo la Critical Thinking / Logical Reasoning Chuo Kikuu changu cha Geniuses watupu nchini cha Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT Mwanza 'We Build the City of God' ) mwaka 2009 tumemuelewa Waziri wa Ardhi Jerry Slaa katika Angles zifuatazo.... 1. Kusema Kwake kuwa...
Back
Top Bottom