jerry slaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Jerry Silaa ni mtoto wa Dkt. Slaa?

    Kuna huyu waziri namsikia sana sasa hivi, Jerry Silaa. Je, huyu ni mtoto wa Dkt Slaa? Yule aliyekuwa Chadema? Maana wanasema mtoto wa simba ni simba. Naomba kuwasiliana
  2. chiembe

    Waziri Jerry Slaa, Mtumishi wa Wizara yako akinunua ardhi ikawa na mgogoro, ni kigezo cha kumsimamisha kazi?

    Kidogo nimeshangazwa na habari inayotembea mtandaoni, mtumishi wa wizara ya ardhi anadai kununua ardhi, ardhi ikawa na mgongano na mtu mwingine, je hii ni sababu ya kumsimamisha kazi? Kwamba watumishi wa wizara wakinunua ardhi mitaani, ikawa na mgogoro hata wa mipaka, anasimamishwa kazi? Kwa...
  3. Ngurukia

    Jerry Silaa, kama ulivyotembea kwa miguu kipindi unatafuta kura, tembelea tena uone hali ya barabara ya Kitunda

    Jerry Slaa, ulitembea kwa miguu kutoka Banana mpaka Kitunda kuomba kura. Leo hii baada ya kupata hizo kura hujaonekana tena. Ni fedheha kubwa kwa eneo ambalo ni mkabala kabisa na Airport kuwa na barabara ambazo zinatia aibu. Kuna mahandaki ambayo mtu mwenye gari ndogo anafirikiria mara mbili...
  4. Roving Journalist

    Waziri Jerry Silaa awataka Watumishi wa Ardhi watoke ofisini waingie mtaani kuhudumia Wananchi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka Watumishi wote wa Ardhi nchini kutoka maofisini na kwenda kutoa huduma ya wananchi kwa kuanzisha Kliniko ya Ardhi ambayo itafanua kazi kwa uwazi zaidi. Jerry Slaa ametoa agizo hilo wakati akikabidhi Hati za viwanja katika Mtaa...
  5. chiembe

    Jerry Slaa, ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa umefikia wapi? Tinazikumbuka zile bilioni 350! Sasa mnazua zogo, wakati Hela mnayo ya kutatua tatizo

    Mwaka huu katika bajeti, Kuna bilioni 350 za ujenzi wa Ofisi za ardhi Kila Mkoa zilizua zogo, sijaona hata dalili ya mtu kuchimba msingi hapa Dodoma Wala Dar es salaam. Basi hizo Hela zielekezwe kununua vifaa vya upimaji, upimaji uwe bure nchi nzima, wanaodai fidia ya viwanja, walipwe humo.
  6. Teko Modise

    Jerry Slaa akagua daraja la Bilioni 17 jimboni kwake

    Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto. Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo. Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya...
  7. Erythrocyte

    Jerry Slaa aanza kulewa madaraka , adai watakaoshindwa kutatua migogoro ya ardhi atawatatua wao

    Ndio kama tulivyosema hapo awali kwamba , usimpe mtu cheo kutokana na uchawa wake , ni vema ukiangalia rekodi yake . Aliyeshindwa Umeya unampaje Wizara ? Hata wiki haijaisha , kishaanza kashfa na matusi !
  8. The Burning Spear

    Jerry Silaa na Daganya Toto kwenye ujenzi wa Vituo vya Mafuta

    Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba. Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo...
  9. Sildenafil Citrate

    Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa anazungumza na waandishi wa habari Muda huu kuhusu sakata la Bandari na uwekezaji wa DP World. === Kuna watu wanatumika kwa maslahi yao binafsi kumuondoa kwenye reli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye utendaji wake wa kazi...
Back
Top Bottom