jerusalem

  1. Nafaka

    Mmiliki halali wa Jerusalem

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
  2. sky soldier

    WaIsrael wawili wachomwa kisu na Mpalestina huko Jerusalem

    Katika mji wa Jerusalem, Kumetokea mauaji ya wa Israel wawili walioshambuliwa kwa kisu na Mpalestina (Kauwawa baada ya kufanya shambulizi) Katika kipindi hiki aina hii ya mashambulizi huenda yakaongezeka, wapalestina huyatumia kama njia ya kulipa kisasi baada ya Hamas kuzidiwa wiki iliopita na...
  3. Sam Gidori

    Gaza: Mashambulizi ya makombora yaendelea, Idadi ya vifo vya Wapalestina yafikia 122

    Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka. Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

    REUTERS: Ghasia zilizuka nje ya msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa zamani wa Jerusalem Jerusalem imekuwa ikigonga vichwa vya habari kufuatia ghasia ambazo zimekuwa zikiripotiwa mjini humo kati ya Wapalestina na vikosi vya usalama vya Israeli ambazo zimewaacha mamia wakijeruhiwa mbali na...
  5. hamis77

    Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

    Ambapo ukiangalia muundo wake wa nje na ndani + mosaic and design ni kutoka Roman Catholic Church or Byzantine empire. Most of Muslim hawajui hii historia na watakupinga sana ukimwambia kwa kuwa wamedanganwya na kulishwa vitu vingi vya uongo. Kilicho jitokeza ni nini? Waislam wengi huupinga...
  6. Mlaleo

    Sheikh Mkubwa Pakistani awachana live Wapalestina asema Israel na Jerusalem ni kwa Wayahudi pekee according to Koran

    Kiongozi mkubwa kabisa Nchini Pakistani Maulana Muhammad Khan Sherani asema kuwa uislamu unatufundisha kuwa Israel ni nchi ya Wayahudi pekee. Je, ndio mpango mpya wa mahusiano ya kibalozi kati ya Israel na Pakistani yanapoelekea na kipigiwa chapuo? Kiongozi mkubwa wa kidini ni ashapitisha...
  7. Richard

    Serikali Mseto nchini Israeli chini ya Benjamin Netanyahu na Benny Gantz kuapishwa Alhamisi. Mike Pompeo yupo Jerusalem kuhakikisha utulivu unakuwepo

    Serikali mpya ya dharura ya umoja wa kitaifa inatarajiwa kuapishwa rasmi nchini Israeli mapema kesho. Serikali hiyo itaundwa na vyama vya Likud, Blue and White, Shas,United Torah Judaism, Labor na chama cha Derech Eretz. Waziri mkuu Benjamin Netanyahu anatarajiwa kutangaza ajenda ya Marekani...
  8. Suley2019

    Ibada za mwezi mtukufu wa Ramadhani zazuiliwa katika msikiti wa Jerusalemu (Al-Aqsa) kutokana na mlipuko wa Covid-19

    Msikiti wa Al-Aqsa wa Jerusalem utafungwa kwa waumini wa dini ya kiisalmu katika mwezi mzima wa Ramadhani kwa sababu ya janga la coronavirus, viongozi wa Kiislamu walisema jambo hili siku ya Alhamisi. Aidha, inaelezwa kuwa kwa kawaida Mwezi wa Ramadhani huwa na waumini wengi sasa katika msikiti...
  9. FRANC THE GREAT

    Israel: Viongozi wa dunia wakutana mjini Jerusalem

    Viongozi mbalimbali duniani wako mjini Jerusalem, Israel kuhudhuria kumbukumbu ya miaka 75 tangu kambi ya mauaji ya Auschwitz ilipokombolewa. Kumbukumbu hiyo inakwenda sambamba na kumbukumbu ya mauaji ya Wayahudi. Viongozi na wawakilishi kutoka nchi zipatazo 50 watakusanyika katika kituo cha...
Back
Top Bottom