MAZOEZI YA PAMOJA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA USALAMA KWA JAMII
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama limefanya mazoezi ya pamoja ya kutembea na kukimbia kuzunguka maeneo mbalimbali ya mkoa huo, ikiwa ni sehemu ya ukaguzi wa himaya na kuimarisha...