Huyu mpumbavu alikuwa anatafuta sana kutrendi kimataifa, kajaribu ujinga ujinga mwingi bila mafanikio.
Ila hapa kajipatia alichokuwa anataka kuwa sasa hata Mfalme Chalesi wa Uingereza anajua kuna pimbi anaitwa Muhoozi Kainerugaba
Maafisa wanne wa ngazi za juu katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Kijeshi mjini Makindye, wakikabiliwa na mashtaka ya kuiba mafuta ya jeshi kwa ajili ya matumizi yao binafsi.
Wanaotuhumiwa ni:
Brigedia Jenerali James Barigye Ruheesi (60)...
Nasema kwa mara ya mwisho.
JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais.
Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu.
Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju.
Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake
kwa hivyo...