GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Matovu Godfrey

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
986
Reaction score
693
Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju.
20251021_183016.jpg

Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake

kwa hivyo dhalimu @KagutaMuseveni alijitolea kusaidia, kama vile alimsaidia dikteta @WilliamsRuto kushinda uchaguzi na kuwateka watu. Kila utekaji nyara unaotokea Tanzania na Kenya ni wa mamluki wa UPDF.

📌Ukikutana na askari hujui tu ujue wanatoka Uganda na Rwanda
==============
Last night, UPDF soldiers crossed to Tanzania through lake Victoria by several boats. They were under the command of Lt. Col. Nsaju.

They’re there to help Samia Suluhu unleash violence against Tanzanian youths who are threatening to riot. She doesn’t trust her army that they will follow her orders, so despot KagutaMuseveni offered to help, like he helped despot WilliamsRuto to win an election and abduct people. Every abduction that happens in Tanzania and Kenya is by UPDF mercenaries.

#Oktoba29Tunatoka #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa #riseupTanzania #SamiaMustGo

Screenshot 2025-10-21 215635.png
 
Hii taarifa imetolewa na huyu jamaa ambaye ni mganda huko (X) Zamani twitter. na huyu sio mtu mjinga mjinga ni mtu anaejielewa so hawezi kuandika hivi for nothing. jamaa anadai kuwa jana usiku wanajeshi kutoka uganda wameingia tanzania kwa maboti ili kumsaidia samia kuzuia maandamano tarehe 29 oktoba sababu ameona kuwa jeshi la tanzania haliko nae na linajipanga kumwondoa iwapo wananchi wataandamana. na pia kaona kuwa jeshi la polisi pia linasua sua kumlinda. Ameandika Mange Kimambi

Ivi inawezekana Rais asiwe na imani na jeshi lake kimeumana 🙂
1761073942701.png
 
Shida si ukweli ama uongo uliopo katika taarifa ila reactions za watu mtandaoni baada ya kupokea hizo taarifa. Tumefika pabaya sana aidha kwa kuwepo ama kutokuwepo kwa hayo maandamano.

Pale tunapopata wananchi wengi ambao wanaona ni sawa kugombea fito za nchi yao. Usalama wa taifa unakuwa katika sehemu mbaya
 
Hii taarifa imetolewa na huyu jamaa ambaye ni mganda huko (X) Zamani twitter. na huyu sio mtu mjinga mjinga ni mtu anaejielewa so hawezi kuandika hivi for nothing. jamaa anadai kuwa jana usiku wanajeshi kutoka uganda wameingia tanzania kwa maboti ili kumsaidia samia kuzuia maandamano tarehe 29 oktoba sababu ameona kuwa jeshi la tanzania haliko nae na linajipanga kumwondoa iwapo wananchi wataandamana. na pia kaona kuwa jeshi la polisi pia linasua sua kumlinda.

Ivi inawezekana Rais asiwe na imani na jeshi lake kimeumana 🙂
Tanzania ndio ilisaidia kuliunda upya jeshi la Uganda, kuwalinda Waganda kumkimbiza Dikteta Idd Amin sasa hivi jeshi la Uganda linakuja Tanzania kumlinda Dikteka Samia na kuwaumiza Watanzania.

Kama hii ni habari ya kweli, hii inaweza kuongeza mawazo ya uasi ndani ya JWTZ kama hawaaminiwi na Amiri jeshi mkuu wao.
 
Lucha huko aliko atakuwa anakenua tu kupata msaada wa wanajeshi kutoka Uganda kuja kumsaidia mama yake ambaye mpaka muda huu ninaandika hapa, presha yake ya mwili inapanda,⚡ presha inashuka.

Ila mwisho wa siku hiyo tarehe 29, wahuni wote watatafuta sehemu ya kwenda kujificha.
 
Back
Top Bottom