GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tanzania ndio ilisaidia kuliunda jeshi la Uganda, kumkimbiza Dikteta Idd Amin sasa hivi jeshi la Uganda linakuja Tanzania kumlinda Dikteka Samia.

Kama hii ni habari ya kweli, hii inaweza kuongeza mawazo ya uasi ndani ya JWTZ kama hawaaminiwi na Amiri jeshi mkuu wao.
Na huu upumbavu wote umetokana na huyu mshenzi mkunda kuwekwa mfukoni na wanasiasa mafisadi hasa huyu mjinga Samia
 
Kweli nimeamini tanzania hatuna wananjeshi tuna mashoga yaani jeshi la nchi nyingine linaingia yenyewe yamekalisha matako tu Kazi kusema wananchi waandamane wao watakuja Sasa mnataka mpaka roho za watanzania wasio n hatia zitoke ndio nyie mtoe matako yenu huko mnapoigiza mnalinda mipaka ******* nyie tupeni silaha hizo sisi wananchi tudili na hao waganda mbwa nyie kumbe tunakaa tunalaumu polisi kumbe nyie ndio majinga ya mwisho inawezekana hata utekaji haufanywi na polisi wenye asili ya tanzania
 
Lucha huko aliko atakuwa anakenua tu kupata msaada wa wanajeshi kutoka Uganda kuja kumsaidia mama yake ambaye mpaka muda huu ninaandika hapa, presha yake ya mwili inapanda,⚡ presha inashuka.

Ila mwisho wa siku hiyo tarehe 29, wahuni wote watatafuta sehemu ya kwenda kujificha.
Unasoma uzi wa Kinyumbu ulioandikwa na Nyumbu na wewe unabeba ujinga kama ulivyo
 
Na huu upumbavu wote umetokana na huyu mshenzi mkunda kuwekwa mfukoni na wanasiasa mafisadi hasa huyu mjinga Samia
Tanzania jeshi hatuna hapa naona Samia Hana kosa lolote ila ni ujinga wa jeshi letu full stop acha afanye anavyotaka tu mimi siandamani nikafe kifala wakati ishu Inaonekana kabisa jeshi linatakiwa lichukue nchi na sio ssis kufa
 
Kweli nimeamini tanzania hatuna wananjeshi tuna mashoga yaani jeshi la nchi nyingine linaingia yenyewe yamekalisha matako tu Kazi kusema wananchi waandamane wao watakuja Sasa mnataka mpaka rogo za watanzania wasio n hatia zitoke ndio nyie mtoe matako yenu huko mnapoigiza mnalinda mipaka
Umeongea Kwa uchungu Sana!🤓🤓🤓
 
Back
Top Bottom