GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kweli nimeamini uchaguzi haupo....sasa nimeamini!fita ni fita muraaa!sasa watampata nani kwenda kupiga kura au tuvae tshirt za chama?mbona wanazuia uchaguzi wenyewe?
Mkuu kwa hawa wahuni walipofikia hata kama hakuna hata mtu mmoja atakayetokea kwenye kituo cha kupigia kura, uyu mama watamtangaza mshindi na amepita kwa kishindo.

watu wanatekwa mchana kweupe alafu washindwe kusema mama kashinda eti sababu hakuna mtu aliyetokea kupiga kura, sahau hicho kitu….njia pekee itakayozuia huu uchaguzi, ni maandamano yenye kuwasha moto kila asset ya hawa wahuni…full stop, mbali na hapo basi tusubiri 2030 au mtu kwenye mfumo achomoe betri.
 
Kwani Uganda kuna PMC?
Hawa ni UPDF na mtoa taarifa kasema hivyo, na jamaa huyo wa twitter alipoandika kuhusu jeshi la Tz kutofuata orders nimeipa hii habari asilimia kubwa za ukweli maana kuna mivutano kati ya jeshi na serikali. sasa hadi huyo wa Uganda kusema hilo ina maana kuna ukweli.
Inawezekana kuna ukweli. Ila ni vigumu kwa kikosi kizima kama batallion moja wanajeshi 1000 hivi au brigade wanajeshi 5000 hivi kuletwa nchini. Hiyo ni kama jeshi la Uganda kutangaza vita rasmi na JWTZ. Sidhani kama Uganda wanataka vita na Tanzania. Pia kama ni kweli Samia hawezi kubaki salama.

Hiyo habari imesema several boats. Hatujui ukubwa, capacity za hizo boats. Pia wamesema kazi yao ni "to unleash violence to Tanzanian youths".

Nafikiri kinachoweza kutokea ni Samia na Museveni kukubaliana kuleta wanajeshi wachache kinyemela kuwadhibiti viongozi wa maandamano na maandamano kwa ujumla kwa kuwapiga, kuwateka, kuwaua na kuwapoteza vijana kadhaa na watu wenye ushawishi hasa huko Mara na kwingine. Limited operation kudhibiti maandamano sehemu kadhaa ngumu ukizingatia wanajeshi na polisi wa Tanzania hawatoshi kuwepo sehemu zote.
 
Hili jambo kuvuja sasa, tayari ni failed mission, lazima wachanganyikiwe kuwa limebumbuluka.

Wasi wasi wao mkubwa, ni je kutakuwa na reaction gani kwa baadhi ya JWTZ wasiokuwa tayari kufuata order ya mkuu wao mkunda au Samia juu ya hili jambo, hii ndo hofu itakayotanda, maana wanaweza wakawindwa watu au kusababisha uasi na jeshi kumegeka.

Niko na asilimia 💯 kuwa jeshi litatoka adharani kama kawaida yao kupitia msemaji wao kupinga hii habari ili kutuliza vugu vugu jeshini kwao, ila Tanzania hainaga siri, kuna vitu vitavuja tu kwa ushahidi kabla ya hiyo 29 Oct kama hili jambo ni kwel.
 
Kha! Aisee! Amakweli! 😭😭😭😭😭😭😭😭 Na jeshi la tanzania lipo!? Na kumpiga kote idd amini kua ndio wanaotegemewa kuliko jeshi letu 😭😭😭😭😭/🤭🤣🤣🤣🤣
Very comfusing situation in madness level
Umesahau juzi walipigwa na wanamgambo wa m23 wakaludi wameweka mikono vichwani
 
Kama ni kweli hawa watakuwa kama mercenaries, special forces, mamluki askari wachache. Hapo juu wamesema boti kadhaa labda kati ya 50 hadi 500. Kama ni kweli kazi yao nadhani itakuwa kuimarisha utekaji, utesaji. mauaji na kuwapoteza wapigania haki wa Tanganyika.

Sidhani kama itakuwa jeshi kubwa la Uganda.
inasemekana wameingia 500 na bado wengine wanaendelea.
 
inasemekana wameingia 500 na bado wengine wanaendelea.
Kama bado wanaingia, na wanakuja wengine kwa maelfu hii itakuwa shughuli pevu. Sidhani kama JWTZ watakubali kudhalilishwa kwa kiasi hicho na kukaa kimya.

Samia atamlipa nini Museveni kwa hii arrangement? Au kodi zetu ndio zinaenda kuleta mamluki kuwavunja vichwa, miguu, viuno Watanganyika ili Samia abaki madarakani.
 
Kama bado wanaingia, na wanakuja wengine kwa maelfu hii itakuwa shughuli pevu. Sidhani kama JWTZ watakubali kudhalilishwa kwa kiasi hicho na kukaa kimya.

Samia atamlipa nini Museveni kwa hii arrangement?
Kitakachotokea ni hao askari kuwekwa chini ya ulinzi na jeshi na wasipotii wataumizwa vibaya pengine kuuawa, hii itapelekea mvutano kati yaTz na Ug.

Huyu mama anatumia nguvu kubwa sana, anatumia nguvu sana sijui lengo lake ni lipi hasa.
 
Kitakachotokea ni hao askari kuwekwa chini ya ulinzi na jeshi na wasipotii wataumizwa vibaya pengine kuuawa, hii itapelekea mvutano kati yaTz na Ug.

Huyu mama anatumia nguvu kubwa sana, anatumia nguvu sana sijui lengo lake ni lipi hasa.
Hiyo issue kama ni kweli 100% ni very tricky. Kama Samia Amiri jeshi mkuu wao na CDF ndio wamewaleta watategemea wanajeshi wote wa JWTZ wawalinde hao wanajeshi wa Uganda UPDF. Uganda pia itategemea wanajeshi wao kulindwa na JWTZ.

JWTZ wakiwaweka chini ya ulinzi wanajeshi wa Uganda huo tayari utakuwa uasi kwa Amiri jeshi mkuu na mkuu wa majeshi wa JWTZ. Ingawaje kwa kufuata katiba wanajeshi wa JWTZ wanakuwa 100% wako sawa kisheria na kikatiba.

Kitachofuata ni either Amiri jeshi na CDF waondolewe kwenye nafasi zao au wanajeshi waliokiuka amri za wakuu wao kufukuzwa jeshini. Hapo itategemea rank and file, wanajeshi wengi wako upande gani.
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=vh7JhXiqpiI&pp=ygUeTWFzdGVyIE9vZ3dheSB3aXNkb20gb2YgbmF0dXJl

Master Oogwe’s wisdom ☝️

You can’t change fate

Watu wana plan, na plan A ni njia halali.

Ikishindikana wana B,C,D,E,G……

Shida ilianza kubadili maafisa wa usalama kwa tamaa za wizi.

Sasa usalama sio watu wanaoingia ofisi za TISS tu.

Jamani si hata ‘Diwani Athumani Msuya’ alikuwa career ‘Police Officer’. Maana yake hao watu wametapakaa hata jeshini na maeneo mengine.

The woman has managed to piss a hell lot of them, kinachofuata ni inevitable.

Shida kwa sasa, mbinu gani ni sahihi; na yenye uhalali mbele ya sura ya dunia.

But it is coming, don’t know when; but inevitable.

Ndio ukweli, usiokwepeka; even they know it.
 
Back
Top Bottom