Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Isn’t it obvious kuna namna watu wana wanamwelekeza kwa kupiga.Mange sio anatunga ye analetewa taarifa kama zilivyo na hapitishi bila ushahiidi ndo ninachomkubali yule dada
Na wahusika wanajua lazima ana lead statements japo watoa habari hawampi yote.
Kutolewa kwa Samia ni maamuzi ya wengi huko serikalini.
Kilichobaki ni mbinu gani, tarehe 29 ni plan A, ikishindikana lazima kuna mbinu zingine za baadae.
Lakini swala kufika 2030 halipo kwenye equation, nchi aina raisi kwa sasa kuna pambo tu Ikulu.
Huyo mama kaiharibu nchi kupindukia.