sio lazima nikuelewe
Senior Member
- Sep 26, 2025
- 113
- 223
Inasikitisha sana, kwakeliUmesahau juzi walipigwa na wanamgambo wa m23 wakaludi wameweka mikono vichwani
Inasikitisha sana, kwakeliUmesahau juzi walipigwa na wanamgambo wa m23 wakaludi wameweka mikono vichwani
Huku kusini kwenyewe, walikimbia magari yao na silaha waliziacha na kifaru juu 🤭🤣🤣🤣 ile picha nikiangaliaga najikuta kucheka sana, mbwa anabigwa nyumbani kwao, na hana pa kwendaUmesahau juzi walipigwa na wanamgambo wa m23 wakaludi wameweka mikono vichwani
I concur with you......kiukweli Tanzania imebagazwa mno kwenye medani za kimataifa, aibu sana kwa kweli, viongozi wameishiwa busara kabisa.Isn’t it obvious kuna namna watu wana wanamwelekeza kwa kupiga.
Na wahusika wanajua lazima ana lead statements japo watoa habari hawampi yote.
Kutolewa kwa Samia ni maamuzi ya wengi huko serikalini.
Kilichobaki ni mbinu gani, tarehe 29 ni plan A, ikishindikana lazima kuna mbinu zingine za baadae.
Lakini swala kufika 2030 halipo kwenye equation, nchi aina raisi kwa sasa kuna pambo tu Ikulu.
Huyo mama kaiharibu nchi kupindukia.
Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju.
View attachment 3491579
Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake
kwa hivyo dhalimu @KagutaMuseveni alijitolea kusaidia, kama vile alimsaidia dikteta @WilliamsRuto kushinda uchaguzi na kuwateka watu. Kila utekaji nyara unaotokea Tanzania na Kenya ni wa mamluki wa UPDF.
📌Ukikutana na askari hujui tu ujue wanatoka Uganda na Rwanda
==============
Last night, UPDF soldiers crossed to Tanzania through lake Victoria by several boats. They were under the command of Lt. Col. Nsaju.
They’re there to help Samia Suluhu unleash violence against Tanzanian youths who are threatening to riot. She doesn’t trust her army that they will follow her orders, so despot KagutaMuseveni offered to help, like he helped despot WilliamsRuto to win an election and abduct people. Every abduction that happens in Tanzania and Kenya is by UPDF mercenaries.
#Oktoba29Tunatoka #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa #riseupTanzania #SamiaMustGo
View attachment 3491582
Habari za uhakika zinasema wanasadikiwa kuwa ni askari zaidi ya 500, tunatoa rai kwa watanzania wazalendo kufanya hitaji kamili na kuwafundisha wajinga hawa juu ya ukuu wa Tanzania.
View attachment 3491817
Reliable sources say that they are believed to be more than 500 soldiers,, we appeal to patriotic Tanzanians to do the need full and teach these idiots about sovereignty of Tanzania
#Oktoba29Tunatoka #SamiaMustGo #M7Mustgo #MuseveniMustGo
YESU ni Mungu wewee hilo halipingiki. Taka usitake penda usipende maamaee. Narudia te YESU NI MUNGU maamaee.mbona 2020 magufuli alileta wanajeshi wa burundi huku zanzibar , na mlikuwa kimya , leo mama amewaletea ya uganda mnaanza kupapatika ??
Sasa Nakumbusha.Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju.
View attachment 3491579
Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake
kwa hivyo dhalimu @KagutaMuseveni alijitolea kusaidia, kama vile alimsaidia dikteta @WilliamsRuto kushinda uchaguzi na kuwateka watu. Kila utekaji nyara unaotokea Tanzania na Kenya ni wa mamluki wa UPDF.
📌Ukikutana na askari hujui tu ujue wanatoka Uganda na Rwanda
==============
Last night, UPDF soldiers crossed to Tanzania through lake Victoria by several boats. They were under the command of Lt. Col. Nsaju.
They’re there to help Samia Suluhu unleash violence against Tanzanian youths who are threatening to riot. She doesn’t trust her army that they will follow her orders, so despot KagutaMuseveni offered to help, like he helped despot WilliamsRuto to win an election and abduct people. Every abduction that happens in Tanzania and Kenya is by UPDF mercenaries.
#Oktoba29Tunatoka #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa #riseupTanzania #SamiaMustGo
View attachment 3491582
Na JWTZ wanakubali vipi apo?! wananchi wake waumizwe
Katika watu wenye akili wewe haumo ndugu yangu,Nchi ina mataahira mengi sana. Kwa vitisho gani? Yaani kale ka Mange K himavi ndo kawe threat kiasi cha yote hayo yatokee. Kunyweni viroba vyenu vijana muendelee na miasha hakuna cha maandamano wala mfano wake.