GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Haya magari matairi yake ya kawaida sana mbona? 😀
Sioni wakitisha watu
Eniwei tuyazoee mtaani hofu iishe kabisaa!
#OktobsTunatoka is a movement

20251022_203201.jpg
 
Katika watu wenye akili wewe haumo ndugu yangu,
Watu wenye akili hua hawachukulii mambo kama haya kwa urahisi hivyo.
Kwa jinsi ulivyo Mjinga unaangalia umbo la mtu badala ya hoja zake.
Mzembe sana wewe mtu unaejiona una akili kumbe Mtupu TU kichwani.
Tukutane tarehe 30 utajua kati ya mimi na wewe nani mzembe, nani mjinga na nani taahira.
 
Una duka una mlinzi lakini ghafra una mletea mlinzi wako mlinzi mwingine kwenye Lindon lake

Hii Nini maana yake?

Je yule mlinzi wa kwanza atajiskiaje?

Na itakuwa Nini maamzi yake Baada ya wewe kumletea mlinzi mwingine?

Mungu wazidishie hekima viongozi wetu
 
Kama hii ni kweli huu ni uvamizi na waliohusika kuwaleta na kuwavalisha haya magwanda amefanya uhaini!
Huu sasa ndo uhaini na kula njama maana kama jambo hiki hakiwezi kufanywa na mtu mmoja!
Waongelesheni Kiswahili, mtawajua!

Mwachieni @TunduALissu anzeni kumulika hii kesi!
Jeshi la wananchi wafanye yao!
Inatia sana hasira!
#OktobaTunatoka
20251023_082803.jpg
20251023_082807.jpg
20251023_082812.jpg
20251023_082816.jpg


👇🏾
Alleged list of 500 Ugandan soldiers brought in to deal with protestors in #Tanzania as initially reported by @KakwenzaRukira
According to this post they have been given fake names and registered as police officers
If true, this is an invasion, an armed occupation and it is the duty of every Tanzanian to resist ✊🏽

#Oktoba29Tunatoka
 
Screenshot_20251023-094935.png


@MariaSTsehai /X

‼️🚨TRENI YA MWENDOKASI YAPATA AJALI RUVU LEO‼️
Jamani! This is not some small technical glitch! Hii ni mbaya imeangusha hadi nyaya za umeme!
Hakuna walioumia kweli? Tupewe taarifa!
Hatari mnoo! Alafu mnaimba Mama sijui tunatiki 🚮
Nchi imekwisha na kuchakarika chini ya kundi hiki ovu na fisadi la CCM 🚮🚮
#OktobaTunatoka ni wajibu! #TutaelewanaTu

#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️
 
Kama kweli tetesi za jeshi la Uganda limeingia Tanzania kuthibiti wananchi basi tuna viongozi wa ajabu sana.

Inaonekana pia jeshi la wananchi limeeanza kugawanyika haya yote yanatokea kwasababu ya tamaa za viongozi wajinga.

Jeshi la uganda kuwapiga watanzania hakutokuwa na vita vya sisi kwa sisi tu bali watapelekea vita vya kikanda pamoja na chuki na ugomvi mkubwa na majirani zetu wa uganda.

Tamaa za madaraka za mtu mmoja zinataka kuingiza nchi kwenye vita.
 
Kama kweli tetesi za jeshi la uganda limeingia Tanzania kuthibiti wananchi basi tuna kiongozi mjinga sana.

Inaonekana pia jeshi la wananchi limeeanza kugawanyika haya yote yanatokea kwasababu ya tamaa za viongozi wajinga.

Jeshi la uganda kuwapiga watanzania Hakutokuwa na vita vya sisi kwa sisi tu bali watapelekea vita vya kikanda pamoja na chuki na ugomvi mkubwa na majirani zetu wa uganda.


Tamaa za madaraka za mtu mmoja zinataka kuingiza nchi kwenye vita.
Usisahau ni 4m4 Failure
 
My thought exactly, kama hizi habari zina ukweli(japo binafsi naamini kwa 70% zina ukweli.

Basi huyu mzazibar atakuwa amejikaanga mwenyewe kwa mafuta yake mwenyewe.

Maana baada ya tarehe 29 kupita salama hakuna mwanajeshi wa JWTZ atakayekuwa tayari kumtii boss ambaye hamuamini, usalama wake utakuwa ni mdogo sana labda kama hao wanajeshi wa Uganda wataendelea kumlinda kwa hiyo miaka mitano.

What she has done is sheer precedence of bloodless coup that will successfully take take place in less than 9 hours.
 
Leo #MariaSpaces tunajadili: Kuelekea #MO29 - mambo muhimu ya kuzingatia
Tunaona Oktoba 29 ile siku tuliyokubaliana ni ya kufungua ukurasa mpya wa #WenyeNchiWananchi umekaribia!
#OktobaTunatoka umeshika kasi - tujadili mambo muhimu ya kuzingatia
Leo saa 2 uck

20251023_120257.jpg


#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️
 
Back
Top Bottom