GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kweli nimeamini tanzania hatuna wananjeshi tuna mashoga yaani jeshi la nchi nyingine linaingia yenyewe yamekalisha matako tu Kazi kusema wananchi waandamane wao watakuja Sasa mnataka mpaka roho za watanzania wasio n hatia zitoke ndio nyie mtoe matako yenu huko mnapoigiza mnalinda mipaka ******* nyie tupeni silaha hizo sisi wananchi tudili na hao waganda mbwa nyie kumbe tunakaa tunalaumu polisi kumbe nyie ndio majinga ya mwisho inawezekana hata utekaji haufanywi na polisi wenye asili ya tanzania
Mlishawahi kusema magufuli na ikulu inalindwa na wanyarwanda
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    28.3 KB · Views: 16
Kwa akili za Amiri jeshi mkuu wa Tanzania Samia, makamu wake na waziri mkuu wake asiye rasmi Abdul, wanaweza kufanya hii kitu wakishirikiana na Museveni na mkuu wa majeshi ya Uganda mtoto wa Museveni Muhoozi Kainerugaba ambaye pia kama makamu wa rais wa Uganda kama Abdul hapa Tanzania.

Muhoozi na Chivayo ndio role model wa Abdul.
Exactly 😎. Na huyu mama atamfanya huyu mtoto ndio next president tusipokuwa makini hapa 29. Yani hapa pakipita patupu, tumekwisha. Urais utakuwa wa familia.. watoto na wakwe! Tuko kwenye kamtihani kazito, ila Mungu atatusaidia tutavuka.
 
Tuko sehemu mbaya sana,Mungu Tu akujaalie.
Aisee huyu Mama na mwanae wamejua kutuweka pabaya sana na kutuaibisha kama taifa. Haikuwahi kudhaniwa Tanzania itafika hapa ilipofika. Nchi ilikuwa mfano mzuri kwa nchi zingine, leo tuko hapa! Mpaka wananchi wanawaza watawaliwe kijeshi! Hao wanajeshi wa Uganda au mercenaries, si wako kuua and the like!! Mungu wangu 🙆‍♀️.
 
20251024_084232.jpg


Bado siku 5!
Tunapoelekea #MO29 kuwa wewe ni shahidi muhimu wa historia
Rekodi tuma kila unachoona
Muhimu sana kuanza kuweka simu na nyenzo zingine muhimu kama maji na bendera sawa
Pakua VPN
#OktobaTunatoka
#StopAbductionsTz #SamiaMustGo #tanzania #riseupTanzania #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa 📍
20251024_084235.jpg
 
@MariaSTsehai /X
Screenshot_20251024-211503.png

Naambiwa kuna uwezekano mkubwa @HecheJohn wamemficha hapa! 👇🏾
Narudia @tanpol IMEMTEKA Heche!
Ukimshikilia mtu bila kutaarifu familia na jamii rasmi alipo unamweka nje ya ulinzi wa sheria ili kumdhuru!
#FreeJohnHeche
#FreeJohnHecheNOW.
 
@MariaSTsehai /X
Hivi @ccm_tanzania akili gani hizi?
Mara mnawapa supu ya bure vijana
Watumishi wa umma mmewakipa 120,000
Atakayeenda kutiki na kujichafua na jamii achukiwe kwa pesa ndogo hivi au supu wakati wao na watoto wao wana ma GWagon na Bugatti apimwe akili!
Kwa sasa ni mwendo wa #OktobaTunatoka
20251025_104917.jpg
20251025_104921.jpg
20251025_090731.jpg
20251025_090737.jpg
 
Kama taarifa hii ni ya kweli
basi ngoja niendelee kupambana nipate uraia ZAMBIA!

This is bullshit.
 
Hao waganda tutavunja vunja viuno baada ya kuwalawiti kama tulivyowafanya askari wa Ghadafi waliokuja kumsaidia Iddi Amin Dada.
 
Back
Top Bottom