mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Hatuko salama
Sawa Mkuu 'Imho'Hapa JF huwa nakuja kwa ajili ya majadiliano lakini tukianza tukianza kususiana mijadala basi mnatukatisha tamaa let us agree or disagree kwenye mijadala ndio maana JF ni kijiwe kinachopendwa sana hapa Afrika Mashariki na Duniani kwa ujumla.
Siwezi kufunga safari ninunue bando la wiki ili nije kujadiliana na Lucas Mwashambwa hell NO!
Kwenye hii ID huwa ni mwenye kupiga spana sana.Sawa Mkuu 'Imho'
Sihoji, wala kupinga chochote unacho jadili. Tuendelee na mambo yetu kama ada!
Sawasawa!Kwenye hii ID huwa ni mwenye kupiga spana sana.
Yaelekea kuna baadhi hawakutaka kuunga moono upuuzi wa kuuwa watanzaniaAu yule mjeda tesha ndio kasababisha jeshi letu lisiaminiwe na kupelekea jeshi la uganda liaminiwe?!
MmhAu yule mjeda tesha ndio kasababisha jeshi letu lisiaminiwe na kupelekea jeshi la uganda liaminiwe?!
JJ Mnyika at his best