GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nikikumbuka ya jeshi la Msumbiji kwenda kutuliza ghasia za baada ya uchaguzi kule Zanzibar, sishawishiki hata kidogo kuwa kuna janjaweed (updf) wameingia kumlinda mtekaji.

Kama ni kweli wameingia:
1. Nani kawaalika?
2. Je, mipaka yetu iko uchi kiasi cha janjaweed kuingia kama wanaenda chooo?
3. Jeshi letu halilindi mipaka?
4. Jeshi letu limewaalika au limetoa kibali waingie?
5. Jeshi letu haliwezi tena kazi hadi liongezewe nguvu na UPDF?
 
 
Hivyo wamepania kuliamsha dude.

Sitoi codes ng'o! Lkn habari ndiyo hiyo.
Kama taarifa hiyo ya hao waganda ni ya kweli, Samia atakuwa tayari kajiwekea rekodi ya kipekee sana katika historia yetu.
Kusimikwa madarakani na wageni

Huyu hatakuwa kiongozi wetu, bali ni mtawala aliyewekwa madarakani toka nje.

Je, hao wageni watakuwepo hapa kumlinda hadi hapo atakapo choka kulitawala hili taifa?
 
Nasikia Mwalimu alileta jeshi la Nigeria baada ya lile tulilorithi kutoka kwa Mkoloni kuasi.
Hili ni jambo tofauti, na unajuwa unachojaribu kupenyeza humu.
Hawa ndio maadui wanaotunyemelea sasa hivi. Kuna watu kama huyu, mtu toka nchi jirani sasa yumo miongoni mwetu akimwaga sumu rejareja.
 
Hili ni jambo tofauti, na unajuwa unachojaribu kupenyeza humu.
Hawa ndio maadui wanaotunyemelea sasa hivi. Kuna watu kama huyu, mtu toka nchi jirani sasa yumo miongoni mwetu akimwaga sumu rejareja.
Siungi mkono kuletwa kwa majeshi ya kukodiwa lakini nilikuwa nakumbushia tu kuwa sio mara ya kwanza.
 
Hivyo wamepania kuliamsha dude.

Sitoi codes ng'o! Lkn habari ndiyo hiyo.
Haya ni mapambano ya waTanzania juu ya nchi yao. Haijalishi wewe ni mtu wa "mabakamabaka" au mtu wa huko mtaani; haya ni mapambano yetu dhidi ya watu wasiokuwa na nia njema na taifa letu.

Kwa hiyo acha hao waganda waje; watapambana na waTanzania.
 
Kama taarifa hiyo ya hao waganda ni ya kweli, Samia atakuwa tayari kajiwekea rekodi ya kipekee sana katika historia yetu.
Kusimikwa madarakani na wageni

Huyu hatakuwa kiongozi wetu, bali ni mtawala aliyewekwa madarakani toka nje.

Je, hao wageni watakuwepo hapa kumlinda hadi hapo atakapo choka kulitawala hili taifa?
atawekwaje madarakani na kikosi cha nje wakati atapigiwa kura na watanzania wenyewe?
 
atawekwaje madarakani na kikosi cha nje wakati atapigiwa kura na watanzania wenyewe?
Kiongozi wa kupigiwa kura hahitaji vikosi vya jeshi kutoka nje; labda kama nawe bado huamini mada ilivyo letwa hapa, kama nisivyo amini mimi pia.

Lakini, pamoja na hayo yote. utakuwa unajiondoa fahamu tu kichwani mwako kufikiri kuwa kuna kura za kumchagua Samia Oktoba 29.

Huo "uchafuzi" unavuka kila kiwango cha uchafu kuutambua kuwa ni kupiga kura kumchagua kiongozi.
 
Ni kweli siipendi CCM na Serikali iliyopo madarakani kwasasa ila kuna mambo hasa toka kwa Wanaharakati ni Uongo tupu!?? Hao UPDF tunaomba hata Picha yao wakiwa hata uapnde wa Pili tu wa Mtukula wanatembea twmbea tu
 
Sina la ziada nawe mkuu 'imho'.
Sasa nitakuwa napita tu!
Hapa JF huwa nakuja kwa ajili ya majadiliano lakini tukianza tukianza kususiana mijadala basi mnatukatisha tamaa let us agree or disagree kwenye mijadala ndio maana JF ni kijiwe kinachopendwa sana hapa Afrika Mashariki na Duniani kwa ujumla.

Siwezi kufunga safari ninunue bando la wiki ili nije kujadiliana na Lucas Mwashambwa hell NO!
 
Back
Top Bottom