GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

GE2025 Wanajeshi kutoka Uganda wadaiwa kuingia Tanzania kuzuia maandamano ya Gen Z Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
‼️🚨SUALA LA JESHI LA UGANDA LINADAIWA NI LA ABDUL ‼️🚨
Mdau mmoja amenihakikishia kuwa suala la wanajeshi wa Uganda lipo na Abduli anaonekana kuwa kinara (tukumbuke Abdul alishaonana na Mzee Kaguta na biashara zao huko za nishati!
Sasa hili suala mdau anadai kapewa Bashungwa na kwa sasa wako huko kw watani!
Ila wanaletwa Dar wengi na tukijitahidi tutawajua
Taarifa muhimu ya ziada
Dar inaenda kuwekwa kwenye lockdown so wananchi mjitahidi kufika mapema by tarehe 24-26
Yaani hii panic si kawaida
#OktobaTunaToka imewapagaisha !

View attachment 3491604View attachment 3491605View attachment 3491606
Wakati wa JPM mlisema haya haya sijui wanajeshi wa Rwanda ujinga mtupu.
 
Jana usiku, wanajeshi wa UPDF walivuka hadi Tanzania kupitia ziwa Victoria kwa boti kadhaa. Walikuwa chini ya uongozi wa Luteni Kanali Nsaju.
View attachment 3491579
Wapo kusaidia Samia kuanzisha vurugu dhidi ya vijana wa Kitanzania wanaotishia kufanya fujo. Haamini jeshi lake kwamba watafuata maagizo yake

kwa hivyo dhalimu @KagutaMuseveni alijitolea kusaidia, kama vile alimsaidia dikteta @WilliamsRuto kushinda uchaguzi na kuwateka watu. Kila utekaji nyara unaotokea Tanzania na Kenya ni wa mamluki wa UPDF.

📌Ukikutana na askari hujui tu ujue wanatoka Uganda na Rwanda
==============
Last night, UPDF soldiers crossed to Tanzania through lake Victoria by several boats. They were under the command of Lt. Col. Nsaju.

They’re there to help Samia Suluhu unleash violence against Tanzanian youths who are threatening to riot. She doesn’t trust her army that they will follow her orders, so despot KagutaMuseveni offered to help, like he helped despot WilliamsRuto to win an election and abduct people. Every abduction that happens in Tanzania and Kenya is by UPDF mercenaries.

#Oktoba29Tunatoka #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa #riseupTanzania #SamiaMustGo

View attachment 3491582
Uongo! Ina maana wanajeshi wa Tanzania wataikubali hii? Basi kama ni hivyo hatuna jeshi!
 
Mkuu mercenaries huwa wapo nchi zote hata hizo kubwa. Russia mmwenyewe kwenye Vita na Ukraine alichukua mercenaries kibao kutoka Belarus.
Ukraine pia nae amechukua mercenaries kibao kutoka nchi tofauti

Pia kumpiga Uganda kipindi hicho haimaanishi kuwa utakua vizuri dhidi yake miaka yote. Ni sawa na wewe unipige mimi Leo alafu baada ya miaka mitano utegemee utanipiga Tena.
Vietman alimpiga marekani, lakini Leo hii unafikiri Vietnam ataweza kumpiga teba marekani?
Au Ethiopia, walilishinda jeshi la Italy na kuzuia kuwa colonized. Ila huwezi kusema kuwa leo hii Ethiopia inaweza kumshinda Italy 😂😂🤌
 
RAI KWA WATUMISHI WA VYOMBO VYA DOLA
Msikubali kikosi chochote cha kigeni kutumiwa na kongozi yoyote
Hii ina maana kiongozi huyu ameanzisha vita dhidi ya raia wake! Ninyi wajibu wenu ni kulinda wananchi siyo viongozi!
Jamhuri ni SISI wananchi na siyo kikundi kidogo
Msikubali nchi itekwe! Tusikubali kuwa Failed State!
Tunaenda kuwa kama Sudan na Somalia!
Chonde chonde!
#WenyeNchiWananchi

@MariaSTsehai
📌
20251022_075559.jpg
 
Wiki moja kutoka sasa
Siku 7 zimebaki! #MO29
Tunajua tuna jeshi la kizalendo na watatulinda - tunaishi kwa imani hii 💪🏽
#WenyeNchiWananchi
20251022_080140.jpg



#Oktoba29Tunatoka #OktobaTunatoka #SamiaMustGo #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa
 
Hii taarifa imetolewa na huyu jamaa ambaye ni mganda huko (X) Zamani twitter. na huyu sio mtu mjinga mjinga ni mtu anaejielewa so hawezi kuandika hivi for nothing. jamaa anadai kuwa jana usiku wanajeshi kutoka uganda wameingia tanzania kwa maboti ili kumsaidia samia kuzuia maandamano tarehe 29 oktoba sababu ameona kuwa jeshi la tanzania haliko nae na linajipanga kumwondoa iwapo wananchi wataandamana. na pia kaona kuwa jeshi la polisi pia linasua sua kumlinda. Ameandika Mange Kimambi

Ivi inawezekana Rais asiwe na imani na jeshi lake kimeumana 🙂
Ndio utaelewa kwanini Contena za siraha binafsi zilingia
 
‼️Leo tunaanika mipango yao yote miovu‼️
Taarifa nimepokea kwa wiki mbili @ccm_tanzania wanavyijipanga kufanya vurugu na makambi ya jeshi yanatumika! Unbelievable!
Narudia JWTZ msikubali huu ujinga - vijana wapewe mafunzo ya muda mfupi kuja kuumiza raia ili kubaki madarakani!? Kweli?
Mtaani tunajuana na kama unawatambua wanaopelekwa makambi haya muwadhibiti na waonyeni!
Pia kumbukeni hawa wanakuja kujichanganya siku ya maandamano kama AGENT PROVOCATEUR wafanye vurugu wasingizie wananchi na itumike risasi ya moto dhidi ya raia wanaoandamana kwa amani!
Mkiwatambua wadhibitini
@SuluhuSamia unachofanya utaishia thr Hague lakini pia utashtakiwa kwa uhaini ukiendelea hivi!
Hii ni kujenga MILITIA ambayo haiko kikatiba ili kupindua matakwa ya wananchi na kuua wananchi!
ILA tusiogope!
Sisi ni wengi kuliko wao!
Hata wawe 100,000 hawawezi kudhibiti mamilioni! Wanajeshi pia wako na wananchi! Msiogope! Nunueni bendera za kutosha!
#OktobaTunatoka

@MariaSTsehai /X
20251022_082416.jpg
20251022_082420.jpg


#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️
 
I don’t subscribe to the notion of defining a group behaviour based on an individual actions.

‘Said Hussein Masoro’ was from the Island and dint share the idea of sabotaging Tanzania as a DGIS and yet you have a crooked one from the mainland.
Hizo definition zote utazimaliza, lakini kuna vitu ni obvious, hakuna formulae, siyo kila mtu anaweza kuongoza, kuna viongozi na waongozwa, hii stage tuliofikia ni critical, siyo suala la haki, maana wengi wanasema Samia au mzanzibar naye ana haki ya kuongoza, at whose risk?? Accept fair election hataki, solution ni ipi sasa? Very frustrating. Haki ni Mweznye uwezo wa kuchaguliwa kwa haki na atawale na tukiona hafai tunamwondoa. Sasa imekua kinyume.
 
‼️🚨DEPUTY CHAIR JOHN HECHE HAS BEEN TAKEN BY POLICE IN DAR 🚨‼️
News just in!
Deputy Chair of Chadema has been taken by @tanpol this morning when he showed up to attend the trial of @TunduALissu at the High Court in Dar es Salaam
#FreeJohnHeche ✊🏽
@SuluhuSamia hii roho ya kishetani kabisa ila yote haya ni ili mipango ya Mungu yatimie juu yako! Mwachie Heche!

20251021_095009.jpg
 
Mkuu mercenaries huwa wapo nchi zote hata hizo kubwa. Russia mmwenyewe kwenye Vita na Ukraine alichukua mercenaries kibao kutoka Belarus.
Ukraine pia nae amechukua mercenaries kibao kutoka nchi tofauti

Pia kumpiga Uganda kipindi hicho haimaanishi kuwa utakua vizuri dhidi yake miaka yote. Ni sawa na wewe unipige mimi Leo alafu baada ya miaka mitano utegemee utanipiga Tena.
Vietman alimpiga marekani, lakini Leo hii unafikiri Vietnam ataweza kumpiga teba marekani?
Hata hiyo zamani unayosema Tz haikua na ujeuri dhidi ya askari wa uganda, kilicho wasaidia Tz ni waganda wenyewe, ilikua kama vita ya wenyewe kwa wenyewe alafu tz ikapata upenyo
 
Back
Top Bottom