Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Kigoma na Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, amesisitiza kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) halijajiingiza kwenye siasa, bali linaendelea kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kisheria wa kulinda nchi.
Kanali Mstaafu Simbakalia amesema kuwa...