Kanali Mstaafu Simbakalia: Kuna watu wao ndio wanataka kulingiza Jeshi kwenye Siasa. Jeshi linatekeleza wajibu wake

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079

Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Kigoma na Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, amesisitiza kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) halijajiingiza kwenye siasa, bali linaendelea kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kisheria wa kulinda nchi.

Kanali Mstaafu Simbakalia amesema kuwa baadhi ya watu wanaodai jeshi linaingilia siasa ndio wenyewe wanaojaribu kulingiza jeshi kwenye masuala hayo ya kisiasa. Amefafanua kuwa pale jeshi linaposimamia na kulinda Katiba ya nchi dhidi ya wanaotaka kuikiuka, halifanyi siasa bali linatekeleza msingi wa jukumu lake kuu la kikatiba.

"Mimi nadhani kuna watu wao ndio wanataka kulingiza jeshi kwenye siasa. Kwa sababu mtu angesema hata tulingiza nani ulinzi unasea hii ni siasa, hapana. Jeshi lina mandate. Mandate kulinda katiba ya nchi. Mandate, kwa hiyo wewe kama hutaki katiba ya nchi sasa hivi alafu ukakuta jeshi linalinda, wewe utasema nyinyi mnaingia kwenye siasa, No, wewe ndio unafanya siasa. Jeshi halifanyi siasa, linatekeleza wajibu wake."-Amesema Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia

Amesema hayo katika Mahojiano yaliyorushwa Oktoba 7, 2026, na M & S Podcast.
 
Huyu ni mwehu, CCM ni chama cha siasa na CCM wamesema majeshi ni mali yao. Jeshi ni subset ya universal set ambayo ni CCM.
Elimu
Elimu
Elimu
 
Attachments

  • IMG-20261012-WA3751.jpg
    IMG-20261012-WA3751.jpg
    273.9 KB · Views: 17
Kanali Mstaafu, nikukumbushe kidogo historia yako!

Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, unasema JWTZ haijajiingiza kwenye siasa, bali inaendelea kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kisheria wa kulinda nchi.

Lakini nikurudishe nyuma kidogo. Ulipokuwa mwanajeshi na kisha kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa, je, hukuona uwezekano wa nafasi hiyo kukuweka katika mazingira ya kisiasa?

Kwa mujibu wa mfumo wa uongozi wa CCM, Wakuu wa Mikoa wamekuwa wakihusishwa na vikao vya uongozi wa chama katika ngazi ya mkoa.

Hapo ndipo hoja ya msingi inapojitokeza: Je, inawezekanaje mwanajeshi aliye katika utumishi wa kijeshi kupewa nafasi ya uongozi wa kisiasa bila kuibua maswali kuhusu mipaka kati ya jeshi na siasa?
 
Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Kigoma na Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, amesisitiza kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) halijajiingiza kwenye siasa, bali linaendelea kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kisheria wa kulinda nchi.

Kanali Mstaafu Simbakalia amesema kuwa baadhi ya watu wanaodai jeshi linaingilia siasa ndio wenyewe wanaojaribu kulingiza jeshi kwenye masuala hayo ya kisiasa. Amefafanua kuwa pale jeshi linaposimamia na kulinda Katiba ya nchi dhidi ya wanaotaka kuikiuka, halifanyi siasa bali linatekeleza msingi wa jukumu lake kuu la kikatiba.

"Mimi nadhani kuna watu wao ndio wanataka kulingiza jeshi kwenye siasa. Kwa sababu mtu angesema hata tulingiza nani ulinzi unasea hii ni siasa, hapana. Jeshi lina mandate. Mandate kulinda katiba ya nchi. Mandate, kwa hiyo wewe kama hutaki katiba ya nchi sasa hivi alafu ukakuta jeshi linalinda, wewe utasema nyinyi mnaingia kwenye siasa, No, wewe ndio unafanya siasa. Jeshi halifanyi siasa, linatekeleza wajibu wake."-Amesema Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia

Amesema hayo katika Mahojiano yaliyorushwa Oktoba 7, 2026, na M & S Podcast.
Sasa mbona wastaf wengi wa jeshini huwa wanaenda kuwa wakuu wa mikoa au wa wilaya hii inakuaje!!??
Yawezekana huwa wanafanya kazi za ccm wakiwa bado wapo jeshini na wakisfaafu wanaingia mazima..
Cjawai ona mstafu mwalimu akapata teuzi za ukuu wa mkoa au wilaya
 
Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Kigoma na Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, amesisitiza kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) halijajiingiza kwenye siasa, bali linaendelea kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kisheria wa kulinda nchi.

Kanali Mstaafu Simbakalia amesema kuwa baadhi ya watu wanaodai jeshi linaingilia siasa ndio wenyewe wanaojaribu kulingiza jeshi kwenye masuala hayo ya kisiasa. Amefafanua kuwa pale jeshi linaposimamia na kulinda Katiba ya nchi dhidi ya wanaotaka kuikiuka, halifanyi siasa bali linatekeleza msingi wa jukumu lake kuu la kikatiba.

"Mimi nadhani kuna watu wao ndio wanataka kulingiza jeshi kwenye siasa. Kwa sababu mtu angesema hata tulingiza nani ulinzi unasea hii ni siasa, hapana. Jeshi lina mandate. Mandate kulinda katiba ya nchi. Mandate, kwa hiyo wewe kama hutaki katiba ya nchi sasa hivi alafu ukakuta jeshi linalinda, wewe utasema nyinyi mnaingia kwenye siasa, No, wewe ndio unafanya siasa. Jeshi halifanyi siasa, linatekeleza wajibu wake."-Amesema Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia

Amesema hayo katika Mahojiano yaliyorushwa Oktoba 7, 2026, na M & S Podcast.
Huyu kanali ni mwanasiasa.
Chivayo kaingiza silaha zilizoua wananchi wetu.
Jeshi viongozi twasikia wamepewa fedha kumezea hili.
Sasa hivi wanachi wanajua zaidi kuliko hata jeshi.
 
Kanali Mstaafu, nikukumbushe kidogo historia yako!

Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, unasema JWTZ haijajiingiza kwenye siasa, bali inaendelea kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kisheria wa kulinda nchi.

Lakini nikurudishe nyuma kidogo. Ulipokuwa mwanajeshi na kisha kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa, je, hukuona uwezekano wa nafasi hiyo kukuweka katika mazingira ya kisiasa?

Kwa mujibu wa mfumo wa uongozi wa CCM, Wakuu wa Mikoa wamekuwa wakihusishwa na vikao vya uongozi wa chama katika ngazi ya mkoa.

Hapo ndipo hoja ya msingi inapojitokeza: Je, inawezekanaje mwanajeshi aliye katika utumishi wa kijeshi kupewa nafasi ya uongozi wa kisiasa bila kuibua maswali kuhusu mipaka kati ya jeshi na siasa?
CCM INATUMIA MBINU YA KUWAWEKA WANANCHI MIFUKONI MWAKE NA IKISHAKAMILISHA INATOKA HADHARANI KUSEMA HAO WOTE WETU.
 
Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Kigoma na Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, amesisitiza kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) halijajiingiza kwenye siasa, bali linaendelea kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kisheria wa kulinda nchi.

Kanali Mstaafu Simbakalia amesema kuwa baadhi ya watu wanaodai jeshi linaingilia siasa ndio wenyewe wanaojaribu kulingiza jeshi kwenye masuala hayo ya kisiasa. Amefafanua kuwa pale jeshi linaposimamia na kulinda Katiba ya nchi dhidi ya wanaotaka kuikiuka, halifanyi siasa bali linatekeleza msingi wa jukumu lake kuu la kikatiba.

"Mimi nadhani kuna watu wao ndio wanataka kulingiza jeshi kwenye siasa. Kwa sababu mtu angesema hata tulingiza nani ulinzi unasea hii ni siasa, hapana. Jeshi lina mandate. Mandate kulinda katiba ya nchi. Mandate, kwa hiyo wewe kama hutaki katiba ya nchi sasa hivi alafu ukakuta jeshi linalinda, wewe utasema nyinyi mnaingia kwenye siasa, No, wewe ndio unafanya siasa. Jeshi halifanyi siasa, linatekeleza wajibu wake."-Amesema Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia

Amesema hayo katika Mahojiano yaliyorushwa Oktoba 7, 2026, na M & S Podcast.
Kila mtu kwasasa anaangalia pocket awe mgambo awe mwanajeshi .....kuna kizazi cha ajabu kitakuja baada ya miaka kadhaa wataishi maisha ya ajabu sana
 
Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Kigoma na Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, amesisitiza kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) halijajiingiza kwenye siasa, bali linaendelea kutekeleza wajibu wake wa Kikatiba na kisheria wa kulinda nchi.

Kanali Mstaafu Simbakalia amesema kuwa baadhi ya watu wanaodai jeshi linaingilia siasa ndio wenyewe wanaojaribu kulingiza jeshi kwenye masuala hayo ya kisiasa. Amefafanua kuwa pale jeshi linaposimamia na kulinda Katiba ya nchi dhidi ya wanaotaka kuikiuka, halifanyi siasa bali linatekeleza msingi wa jukumu lake kuu la kikatiba.

"Mimi nadhani kuna watu wao ndio wanataka kulingiza jeshi kwenye siasa. Kwa sababu mtu angesema hata tulingiza nani ulinzi unasea hii ni siasa, hapana. Jeshi lina mandate. Mandate kulinda katiba ya nchi. Mandate, kwa hiyo wewe kama hutaki katiba ya nchi sasa hivi alafu ukakuta jeshi linalinda, wewe utasema nyinyi mnaingia kwenye siasa, No, wewe ndio unafanya siasa. Jeshi halifanyi siasa, linatekeleza wajibu wake."-Amesema Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia

Amesema hayo katika Mahojiano yaliyorushwa Oktoba 7, 2026, na M & S Podcast.
Msemaji wa jwtz alitumia lugha maarufu ya kisiasa "kazi na utu"
 
Huyu Kanali ni mjinga sana.
Yeye alikuwa wapi silaha TOKA NJE zikiingizwa nchini na kuua wananchi Okt29?
Asijifanye hajui maana ninavyomfahamu Kanali Simbakalia yuko system, asijidai hajui kuwa JWTZ haikufanya wajibu wake kulinda wananchi OK29.
Sasa anavyotuletea huu uharo anafurahisha nani?
 
Back
Top Bottom