Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Wakina Jakaya Kikwete, George Mkuchika, Yusufu Makamba, Jaka Mwambi na wanajeshi wengine waliokuwa kwenye siasa waliambiwa wachague siasa au jeshi.
Hawa walichagua siasa na kuacha jeshi.
Katika jitihada za kutenganisha jeshi na siasa.
Leo, wanajeshi wanateuliwa wakuu wa mkikoa na wakuu wa wilaya. Vyeo vya kisiasa.
Sasa hapo utakataa vipi jeshi haliingizwi kwenye siasa?
Hii podcast yenyewe ni ya kisiasa, hawa watangazaji ni watu wa mfumo wameanza ku roll na kina Mkapa na Kikwete tangu enzi za urais wao, unategemea nini hapo?