Huyo mshenzi akae kimya tu.
Tuna rekodi ya ex- IGP na ex -CJ kujionyesha wazi ni makada wa CCM .
Ikumbukwe hata ex -CJ Augostino Ramadhan kabla hajawa CJ alikua mwanajeshi na alienda hadi vitani Uganda maana yake alikua ni kada wa CCM tangu jeshini hadi alipofika kuwa CJ.
Hata sasa sishangai akina Mkunda, Wambura Mombo , Kingai kuwa na kadi za kijani zenye jembe na nyundo huku wakijidai ndio uzalendo kumbe ni makada wa kijani
.