jezi ya taifa stars

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Nitanunua Jezi ya Taifa Stars, Lakini sio hizi Mpya

    Mtangazaji wa Wasafi Media kipindi cha 'Good Morning', Gerald Hando, ameweka wazi msimamo wake wa kutokuvutiwa na muundo (design) wa jezi mpya za timu ya taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars, zinazotarajiwa kutumika katika michuano ijayo. Akiwa anazungumza kwenye kipindi hicho, Hando ameeleza...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Makonda Atupilia Mbali Matangazo ya Jezi Mpya za Timu za Taifa. Mkataba wa mzabuni wa jezi hizo kuchunguzwa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Christian Makonda (Mb), ametangaza kutotambua matangazo ya jezi mpya za Timu za Taifa. Hatua hii imekuja baada ya mchakato wa kubadilisha jezi hizo kufanyika bila kuishirikisha Wizara, kinyume na maelekezo yaliyotolewa hapo awali mwezi...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda azikataa jezi mpya za Taifa Stars. Adai ziko chini ya kiwango na kung'aka "Tuheshimiane"

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameonyesha kutoridhishwa na jezi mpya zinazodaiwa kuwa za timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Makonda amesema jezi hizo hazikidhi kiwango anachotarajia kwa timu ya Taifa, huku akisisitiza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…