Hapa kuna jezi ya Tunisia ya mwaka 2019-2020 na kuna jezi ya Simba 2021-2022.
Jezi ya Tunisia imetengezwa na kampuni ya Kappa wakati jezi ya Simba imetengezwa na Vunja bei.
Hongereni sana Simba na Vunja bei.
Habari wanajamvi ni kianza kwenye mada kuna kitu kina udhi sana unakuta shabiki analalamika sijui jezi ya simba imejaa matangazo hivi ujui.
Mo pia pale anafanya biashara, timu kabla Mo ilikuwa ifanyi vizuri Mo kaweka mzigo sasa tunaona simba inapiga kweli mpira biriani.
Tuache wivu kama nawe...
Jezi namba 7 pale katika viunga vya Old Traford Manchester United huwa inajulikana ni ya nani 😇 Ronaldo na tayari kachukua namba yake huenda Cavan akavaa jezi namba 21 ambayo anaitumia timu taifa na kwenye vilabu vingine alivyochezea.
Mwanzo jezi namba 21 pale Man United alikuwa akiitumia...
"Nasikitika kuona tunaacha Kupambana kwa Matokeo ya Uwanjani tuko katika Upuuzi wa Kushindanisha Jezi na Kushadadia kama zimevuja au hapana. Arsenal FC ndiyo Klabu yenye Jezi nzuri mno ila Uwanjani ina Matokeo mabovu na ya Aibu. Kama wana Habari sidhani tunapaswa Kushangilia Kuvuja kwa Jezi...
"Sijawahi kuona Jezi yenye Quality ya Juu kama hii ya Simba SC na kiukweli nitoe Sifa nyingi kwa Mtengenezaji Fred Vunjabei na hakika hana mfano Tanzania Kwani ametisha mno na sasa ni wakati wa Mashabiki wa Simba SC kuitafuta na Kununua kwani ni Jezi nzuri na inaonyesha kweli Simba SC ni next...
Haki ya Mungu CEO Senzo hata kusimamia tu utumiaji wa jezi hawezi halafu wachambuzi takataka wanakuambia jamaa ni kichwa kishenzi yaani wanasema alikuwa kamati ya maandalizi ya world cup jamaa ni genius hatari
Kwa mujibu wa mbunifu wa jezi za Young Africans Sports Club Sheria Ngowi alisema...
Mwaka 2008 Taifa Stars enzi za kocha Marcio Maximo. Enzi hizo mapenzi ya Watanzania kwa timu ya taifa ni 100%. Kuna mkasa mmoja ambao leo umenifanya nimkumbuke Cannavaro mara baada ya kumuona kwenye benchi la Stars.
Ilikua hivi mara baada ya mchezo kati ya Tanzania na Cameroon kumalizika...
Mlikuwa mnamdanganya Nani?
Vaeni hizo jezi Milioni moja SASA mlizonunua, Asilimia kubwa mmevaa Old model, au walionunua jezi hawajaja Uwanjani?
Wamenunua jezi halafu wakaziacha nyumbni, hlf wakaamua kuvaa za zamani?
"Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata"
Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar
Wakati Oscar Oscar ( ambaye Personally ) namjua ni Simba SC lia lia alipochukua Fomu ya Kugombea...
Kuna Watu kweli hamnazo kabisa yaani Wewe una Mechi ngumu mno ya CAF CL badala ya kujiandaa vyema uko busy Kutambulisha Jezi Vikaragosi zao na Mwali wao Mzungu Pori.
Halafu baadae Mwanamume aliyejiandaa vyema kwa Mashindano yote yajayo kama Kawaida yake akibeba Vikombe vyote mtaanza kusema...
Sheria Ngowi na Theocabrini Pamoja na Team Yote Wametengeneza Jezi za YANGA Nzuri sana
Africa Hakuna Jezi Nzuri kama za YANGA Kwa Sasa
Kwenye Jezi inaonyesha Wananchi
Kwenye Jezi Inaonyesha YANGA Mabingwa Mara 27
Kwenye Jezi inaonyesha home of Champions
Wengi hawawezi kuelewa theme ya Jezi...
Huyu mtu toka ugomvi wake na Bumbuli kazi yake ni kudhalilisha wenzake na mwishowe yeye au watu wake huja kwa kasi kumtetea.
*Vs Bumbuli: kisa kilikuwa lopolopo kufurahia basi la la Yanga kupasuka tairi la mbele ,Bumbuli hakuvumilia hali ile akamuwakia jamaa akaliaalia kwamba ananyayapaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.