Mtu yupo kanisani au msikitini kavaa jezi ya Man Utd.
Mtu yupo harusini au msibani kavaa jezi ya Yanga.
Mtu kaendda kufata huduma ofisi za serikali, kaenda kupiga passport kwa ajili ya Kitambulisho cha NIDA kavaa jezi ya Simba.
Mtu kaenda mahakamani kavaa jezi ya Barcelona.
Watanzania nani...
Tulikabidhiwa jezi ya huu mchezo unaoitwa maisha, kabla hata hatujawa tayari kuingia uwanjani.
Wala hatukuwa na uhakika wa kwenda kubadilisha matokeo.
Ghafla tu, tukaambiwa baba amechoka, Mama Hana msaada pale mbele. Nenda kaipe tumaini team.
Sisi ni makipa tunajua kudaka na kusubiri mashuti...
Kuna sehemu nimekuja kupata supu ya kuondoa hangover, tangu saa nne asubuhi nipo hapa sijaona hata mtu mmoja alievaa jezi ya makolo.
Naona wananchi tu wanakatiza mitaa wametupia jezi zao.
Hali ipo hivi hivi na uko maeneo mengine.?
Tangazo la BOOST limewekwa vibaya kwenye karatasi nyeupe na kubwa mno kiasi kwamba limechafua jezi. Jezi za 45,000 kila moja lakini watu wanaogopa kuzivaa kwasababu ya mtangazo mkuuubwa sana ulibandikwa vibaya mgongoni.
Tangazo lile la mdhamini lirekebishwe ili kuboresha muonekano wa biashara...
Ilikuwa Kabla ya Kombe la Dunia Mwaka 2002 kule Korea na Japan, pale Del Piero alipokuwa akivaa Jezi namba 10 huku Totti akiwa anavaa namba 20.
Siku moja baada ya mazoezi ya nguvu huku kila Mchezaji akiwa full kwa ajili ya kulitumikia Taifa, wachezaji waliitwa waliitwa ili wachague namba za...
Kuna siku niliwahi kuongelea "obsession" waliyonayo viongozi wa sasa wa Yanga juu ya mambo yanayofanana na Simba, kuanzia rangi za jezi hadi wachezaji wake.
Katika jambo la kushangaza sana na naamini litaleta mjadala mkubwa ndani na nje ya klabu hiyo, leo wamepiga picha rasmi ya msimu ya timu...
Jana tarehe 3/8/2024 ilikuwa ni siku ya Simba day. Ni siku ya pekee kwa wapenzi wa Simba katika kutambulisha wachezaji wapya, bench la ufundi, jezi n.k.
Tunajuwa viongozi siku zote wanakuwa mfano, ila hapo unyamani kuna baadhi ya viongozi hawosomeki sijuwi ni hawataki kuonyesha utambulisho wao...
Leo nikiwa matembezi yangu Kariakoo kujitafuta, nimeona jezi za Yanga na Simba za msimu huu Mpya zikiuzwa elfu 3 ,elfu 5 na Elfu 7 zimemwagwa chini machinga tena karibu na jengo la Simba mtaa wa Agrrey na watu wanazigombania sana tu.
Kwa hilo nimeona sio leo wala kesho uharamia wa jezi...
Kwenye hii video Manara anadai kuna Fact ambayo haisemwi kuwa Simba ilianza kuuza jezi na tiketi wiki 5 nyuma.
Yanga wametumia wiki 1 tu kuuza tiketi na jezi na zimeisha, huku akisema kuna propaganda ambazo yeye alikuwa anatumia huenda ndio Simba wametumia kuonesha wamemaliza tiketi zao( Sold...
Kaizer chief hata Liwale FC hawaifungi, quality ya wachezaji na namna wanavyocheza unaona kabisa pale hakukuwa na ball.
Shabiki mmoja tang asbh kashika bango likisema Even Jesus can not save Kaizer Chief.
Mmefanikiwa sana, jezi mtauza na uwanja mtajaza trh 4.
Fanyeni kila mnaloweza lkn this...
Jezi za Simba zilitangulia kutoka kabla ya jezi za yanga, mashabiki wa Simba walisifia ubunifu ila kasoro ikawa ni neno SANDA peke yake. Sijajua mbunifu wa jezi za Simba aliwaza nini kuweka 1 5 kwenye jezi za Simba lakini uzuri hakuna aliyechukulia hilo kama nia mbaya ama mashabiki wa Simba...
Salam.
Aisee nimekuwa nikimpa udhuru huyu designer wa jezi za Yanga kwa kudhani labda atajirekebisha katika siku za usoni ila wapi!
Jezi nzuri duniani ni zile ambazo hazina mambo mengi, ni plain na simple tu ila kwa huyu designer wa Yanga ni tofauti aisee. Kwake jezi lazima aweke vikatuni...
Hawa Gen-Z ndiyo wanachukulia poa ila utamaduni wa Yanga miaka yote ilikuwa ni marufuku kushobokea rangi nyeupe au nyekundu. Hawa jamaa ilikuwa manjano na wao na wao na manjano.
Kama ni mfuatiliaji mzuri utaona miaka ya hivi karibuni walianza taratibu kutoka huko. Wakaanza kuonyesha waziwazi...
All in all Sheri ngowi kazini kwake kuna kazi . Baada ya simba kuchukua designers wake wa jezi . Jamaa kila design mpya ni mbovu . Amerudia sana Jezi mpya . Inshort sio talent yake anatafuta pakutokea .
New Jersey is late because investors weren't impressed with Jersey's design. Sheria Ngowi...
Tunaendelea kuviona Vilabu vingi vya mpira hapa Tanzania vimekosa kuwa na jicho la ziada katika Jezi mpya katika msimu husika kuzitoa mapema hata kabla msimu mpya kuanza.
Eneo la Jezi ni moja ya sehemu ya kupata mapato ambayo yatachangia kwa kiasi kizuri kuendesha klabu katika matumizi yao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.