Hivi ndugu zangu, wapi tumekosea? Kwanini wao tu ndo wanaona kuwa wanaweza wengine hawawezi. Au wao wamesoma Sana kiasi Kama kwamba wengine NI maamuma Tu?
Nijuavyo Mie hata mjinga ana nafasi na mchango mkubwa kwenye maendeleo. Nasikitika Sana kuwaona polisi wameacha kazi zao za msingi na...