Me nakumbuka mwaka 2008 niliambiwa kuliko kukupa wewe mbunye yangu bora nikampe mbwa.
Nilikaa kimya kwa muda , nikawa Na sura ya upole mno.Sikumjibu kitu ila nikageuka kwa unyonge nikaondoka taratibu huku nikionyesha kuwa Na mawazo.
Akanionea huruma akaniambia simama G ........... Nisubiri...
Mheshimiwa Spika Tulia Akson tafadhali chukua nafasi yako kama kiongozi wa bunge kuhakikisha serikali inajibu hoja zote za wabunge kwa ufasaha vinginevyo bunge litapoteza heshima yake.
Mwigulu ajibu hoja za wabunge na siyo kuwadhalilisha eti kwa kuwa ana PhD. Hapo bungeni wapo walioishia darasa...
We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi.
Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti.
Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa...
Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "
Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.
Katika Biblia...
a) Mizizi yao imeshajulikana na imedhibitiwa Kiurahisi.
b) Ulikuwa ni Mpango Mkakati wa kufunika Jambo kwa Kipindi husika.
c) Kuuliwa Kwao Kishalubela ( Kikatili ) na Maiti zao Kurundikana Mochwari Kumewatisha na hata Kuwakimbiza Mjini.
d) Wametumika kufikisha Ujumbe mahala fulani Juu kabisa...
Habari watu wote wa hili jukwaa la elimu.
Leo kuna mtoto wa kaka angu amekuja na hii chemsha bongo na kusema ukweli naona kuna kila dalili ya mimi kuchemsha.
Iko hivi" Nguo dukani inauzwa Sh.10000/= Na wewe hauna pesa ila hiyo nguo unaitaka, ukaamuwa kwenda kukopa kwa kaka ako Sh.5000/= na...
Naweka hapa nukuu niliyoambiwa na mmoja wa mjumbe wa kamati yao maalum ya unyangindo (uchawi) juu ya kupendelewa kwoo jana na Mwamuzi (Referee) hadi kushinda kwa janja janja sana.
"GENTAMYCINE baada ya watu kutushtukia kuwa tulikuwa na tuhonga wachezaji au benchi zima la ufundi, hivi sasa...
Mwalimu ndiye alianzisha mbio za Mwenge nchini, nia ikiwa kuenneza upendo na umoja kati ya Mwatanzania.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, 1958 wakati akihutubia kikao cha 35 cha Umoja wa Mataifa na kuyarudia tarehe 22 Oktoba, 1959 wakati akihutubia Baraza la Kutunga Sheria la Tanganyika (LEGCO)...
"Yoyote atakayemsema vibaya Mheshimiwa Rais Samia popote pale na kwa namna yoyote ile hatutoweza Kumuacha na tutapambana nae" Spika wa Bunge Dk. Tulia Mwansasu Ackson.
GENTAMYCINE natamani sana na mno kujua Mama wa Nje alipokutana na kupiga Picha ya pamoja na Namba Moja na Mbili wa Marekani...
Urusi ilialika watu au taasisi zinazohitaji kuwa waangalizi kwenye kura ya maoni iliyohusu majimbo manne ya ukraine kukubali kujiunga na Urusi au kubaki kwenye himaya ya Ukraine. Urusi ilikuwa na uhakika kabisa kuwa zoezi la kura litaendeshwa kwa uhuru na uwazi. Wapo watu wengi toka nchi za...
Tatizo la ajira nchini limekua kitendawili kwa muda mrefu sasa bila ya kupata majibu. Taasisi zetu za elimu hutoa wahitimu wengi ambao hutegemea ajira ili waweze kujikwamua kiuchumi. Takriban kila mwaka watu wanaokadiriwa 800000 huwa tayari kuingia kwenye soko la ajira lakini wanaopata ajira...
Husika na mada tajwa hapo juu,
Kwako Waziri wa Afya UMMY MWALIMU, kwanza nikupe pole na majukumu yako ya kila siku japo ni wajibu wako kuyatekeleza, na pili nikupongeze kama Mbunge na Waziri kwa jinsi mnavyoendelea kuwalimbikia watanzania Tozo wakiwemo wananchi wako katika jimbo lako la Tanga...
Kwanza salam zangu za leo ziwafikie popote mlipo member wenzang.
Kuna best friend wangu alikuwa anauliza swali hili hapo chini 👇
Kati ya:
1] Mchina
2] Mwaarabu
3] Muhindi
Ni race ipi ambayo ukifanya nayo kazi haiwezi kukusumbua kwa upande wa malipo na haki zako zingine za msingi?
Maana jamaa...
Shirika la Afya Dunuani limesema kuwa Ugonjwa wa Monkey Pox utapatiwa jina jipya kwa kuwa jina la sasa linaambatana na unyanyapaa
FUATILIA
========
Monkeypox to get a new name, says WHO
Yesterday 6:34 PM
The World Health Organization says it is working with experts to come up with a new name...
Kwa kweli Kati ya watoto wadadisi mwanangu huyu wa kiume 9 yrs naye yumo, mama yake ni mjamzito sasa akamuona na kamuuliza mama yake "wewe mama unatematema mate, mama yake akamjibu fanya mambo yako, ilibidi nicheke kimomoyo halafu nikamnong'oneza maneno.
Unapomfukuzia mwanamke kuwa makini sana na jibu lake la kwanza kutolewa kinywani mwake.
Ukikataliwa, ukipewa excuse, ukiambiwa "mimi sikupendi", ukiambiwa "shika adabu yako", ukiambiwa "aku mm nina mtu wangu" ama jibu lolote linalofanana na hayo LIHESHIMU. Ukikomaa utakuwa na mpenzi ama mke...
Namba za Help Desk +255735398259/+255784398259
Malalamiko ++255736005511/ 255679398259
Ijulikane kuwa hizi namba hazipo au kama mtu ana malalamiko afike hapo Dodoma kuliko kuweka namba ambazo hazipo na hazifanyi kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.