LUHAGA MPINA amewasilisha kwa umma hoja zenye kurasa 95 kuhusu suala la vibali vya sukari lakini nimesikiliza press ya bosi wa bodi ya sukari sijaona akijibu hoja badala yake kuruka ruka.
Hoja za Mpina ziko kwenye kurasa 95 tunaomba majibu ya hizo hoja kama ni za uongo au za kweli weka matrix...
1. Hawawezi kujifunza lolote. Kwa nini wakose la kujifunza?
JIBU:
Watawala, CCM for that matter, walihakikishiwa na Kenyatta enzi hizoza uhai wake kuwa
.1. WATANZANIA NI MAITI, HAWAWEZI FUKUKUKA, you need not worry about them
2. WAGANDA WAJINGA, WAKIELIMISHWA WATAJITAMBUA NA KUTETEA HAKI...
Nawasalimu wote. Naibu karibu mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia elimu amekemea vikali tabia ya baadhi ya watumishi kuhama kwa kutumia njia zisizo rasimi huku akihusisha jambo hilo na pesa. Ameenda mbali zaidi kwa kueleza kuwa Kuna maafisa Wana barua za uteuzi ambazo hazitoki kwa katibu mkuu...
Raisi Xi wa China alitoa vitisho kuhusiana na ziara ya bi Perosi nchini Taiwan. Wote tulisikia. Pamoja na vitisho vyote, Marekani wakapuuza, bi mkubwa akaingia Taiwan. Wote tuliona, mchana kweupe.
Wote tulifuatilia msafari wa bi Perosi. Ndege, meli za kivita zilikuwa zimeizunguka Taiwan, lakini...
Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu.
Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima?
Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi.
Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
Kujibu kile kinachojulikana kama "uzalishaji kupita kiasi wa China" ambacho kimechochewa hivi karibuni na baadhi ya nchi za Magharibi, Bw. Ayodeji Dawodu, ambaye anafanya kazi na kushughulikia mambo ya Afrika katika benki ya uwekezaji ya BancTrust yenye makao yake makuu mjini London alisema...
Kwa kutumia Hints Zilizotolewa Pangilia Code (Paswords) sahihi huku zikiwa katika Mtiriko Sahihi..
Hints chini zitakuwezesha kujua Numeric Lock hapa chini inapangiliwaje na Ina namba gan?
Hakuna kipindi katika maisha yangu nilichokuwa karibu na Mungu kama hiki. Sometimes mpaka najiona nimechelewa sana kuyafanya yale anayotaka kila siku niyafanye.
Mimi nilishakuwaga na mashaka sana na Mungu kwenye kujibu maombi, thats true bro lakini baadaye nikakaa na kujifikiria kwa nini? Watu...
Katika hali ya kuchanganyikiwa na vita vya Gaza Israel imeelezwa kukubali kimsingi vita visitishwe ili irejeshewe mateka wake.
Hali ya kuchanganyikiwa kwa Israel kumeonekana hapo juzi ambapo iliwamiminia mabomu mazito kutoka angani na kuwapiga kwa risasi watu zaidi ya mia waliokuwa wakisubiri...
Mtangazaji na CEO wa "Zamaradi Tv" mwanadada Zamaradi Mketema, amemjibu shabiki aliemwambia kuwa ana roho mbaya.
Sekeseke lilianza baada ya Zamaradi kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika "Mmanyema mmoja hivi!!"
Moja ya shabiki wake akajitokeza na ku-reply kwenye...
Enzi hizo tulilizwa wengi kwa hii staili sababu hata mtu akipigwa inakuwa siri hakuna mitandao ya kuelimishana.
Mwaka 2005 nipo nakaribia kuvuka barabara ghafla mzee mwenye koti lake anaulizia hospitali nikamwelekeza ilipo maana haipo mbali ila yeye akasema ni mgeni, akaja mtu mwengine nae...
Akifanya mahojiano na Edwin Odemba, Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema amejibu swali kuhusu kudaiwa Mkopo na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika Mahojiano hayo Lema amesema haogopi kukopa, hata kama wabunge wa-CCM wangekuwa...
Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!!
======
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January...
Aunt Ezekiel amejibu swali la ni lini ataolewa na Baba mtoto wake ambae pia ni msanii wa Bongo Fleva "Kusah".
ANGALIA VIDEO HAPA
Written by Mjanja M1
Video from RickMedia
Naomba niingie kwenye swali moja kwa moja..
Hivi kwanini Azam TV kwenye tangazo lake la afcon linasema ' KUONESHWA TANZANIA PEKEE' hii mimi sijaielewa ina maana gani? Naomba kusaidiwa.
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.
Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva...
Habari zenu,
Nipo hapa JF kuinteract na watu naheshimu kila mtu, Kama wewe unanichukulia tofauti nakupa pole sana.
Kuishi na watu wenye tabia tofauti ni kazi, nimejifunza jana na ninajaribu kwa mara nyengine tena.
Jana kuna watu walinitamkia maneno na kuonyesha wamefurahi mimi kusepa, siwezi...
Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe.
Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na duka/supermarket tyr yenye bidhaa moja renewable hapo kati. Kwa hio moja kwa moja anaanza kusupply mara tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.