Kalenda ya kiislam inasema huu ni mwaka 1445! Hii ni miaka 600 hivi nyuma ya kalenda ya watu waliokombolewa!
Waislamu wengi ni vigumu sana kutenganisha dini na mambo ya kidunia. Jambo hili lilikuwa tatizo pia Ulaya miaka 600 iliyopita. Dini ilikuwa serikali na serikali ilikuwa dini.
Watu wengi...
Ni dhahiri kuna baadhi ya watu hata ukiwastili vipi au kuwaheshimu vipi au kuwasaidia vipi ipo siku watukufanyia ubaya tu bila sababu ya msingi. Lakini hilo lisiwe ndio chachu ya kuwatendea wengine mabaya, ni bora uwe neutral (mtu wa haki sio mtu wa favors) kuliko kuwa negative.
Hii ni kwa...
Uchawa haulipi. Nisifa tu kwa wahuni.
Waheshimiwa Wanasiasa jifunzeni uwajibikaji kwa hawa waliowadogo:
1: Mbunge Waitara kutoka Tarime vijijini, Serikali'' ilipomjibu majibu mepesi kwa maswali magumu, uongo kwenye uhalisia alikataa mchana kweupe, hicho ndo tumewatuma mkafanye na sio kupigwa...
Habari zenu
Niende kwenye mada direct inayo muhusu rafiki yangu mmoja wa faida sana, tumekua tuki badirishana mawazo ya kimaisha , mahusiano nk,
Huyu rafiki yangu leo ameniambia kitu ambacho kimenifanya nije ku share nanyi, iko hivi huyu jamaa (rafiki) yangu alikua na mpenzi wake wa muda mrefu...
Haloo jukwaa la MMU....
Ngoja leo nitetee hawa malaika a.k.a maua a.k.a wanawake kuna swala fulani kwenye gender sijui niseme sisi wanaume hatufanyi sawa kwao.
Hivi inawezekana vipi mwanamke akosee umpeleke kanisani hadi umuitie wazazi kisa kachepuka na umemfuma red handed afu wewe mwanaume...
Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.
Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.
Inaelezwa kuwa mahakama...
achraf hakimi
duniani
hiba abouk
hii
internet
jifunzeni
kavunja
kisa
kisheria
kitu
kudai
kukwepa
maana
mali
mama yake
mchezaji
mchumba
mke
mke wake
mtu
ndoa
paris saint-german
siku
single
talaka
tuna
utajiri
wake
wake zenu
wanawake
Jana kaja Kamala wote tumeshuhudia Ulinzi imara usio na maonesho. Maonesho yenu ya kubeba mibunduki hadharani hayajaonekana jana. Siku zingine mnazingira Rais kama ni gaidi.
Hata yule mpambe anayevaa magwanda sioni umuhimu wake zaidi ya matumizimabaya ya kodi. Vile vidada vinavyokaa pembeni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.