jiji

Jiji refers to an ethnic and linguistic group based in Kigoma Region, Tanzania.
If tribes are classified by language and not by race, Bajiji (Jiji people) are part of Baha (Ha people) since their language is the same. Traditionally they were organized into a separate kingdom, Bujiji (Swahili Ujiji, same as the Arab town of Ujiji near Kigoma), and formed part of Buha (Uha, Ha territory) with other kingdoms: Heru, Bushingo (Ushingo), Ruguru (Luguru), Muhambwe and Buyungu, all of them in Kigoma Region, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi. 2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au...
  2. F

    Conned on jiji app

    https://www.JamiiForums.com.com/data/attachment-files/2023/03/562287_83715675466eb058c7249ee11015d84f.mp3 Jiji Scams #inbox I can only talk about this cause I've fully healed. Around 2018 I tried selling a PS4 Slim console on Jiji, for around Kes. 30,000/= An Airtel number gives me a call claiming...
  3. M

    Mporipori ndani ya Jiji na almasi yangu, natafuta kipoozeo

    Itoshe kichwa Cha habari kutoa utanguli kamili. Baada ya kuyafuma manukato murua ktk miezi ya wagumu hii ikiwemo bingo la kuchoronga maneno Kwa kipaza sauti kwenye msiba wa don Mmoja wa kipande chetu siku ya pasaka ya mwaka huu, kiukweli nilifunika mbaya mpk nikapigiwa mbwembwe msibani. Sasa...
  4. DOKEZO Magari taka kumwaga uchafu pembezoni mwa Tawi la Mto Zinga Mwanagati, Ilala, Serikali mko wapi?

    Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia? Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini kuwaweka kwenye nafasi hizo? Wananchi wakianza kufa msiseme hamkuambiwa. Hapa Mwanagati wilayani, Ilala...
  5. Jiji la moto hilii

    Tusipoteze muda na salamu Kwanza kabisa naomba sana habari za kusoma halafu unaanza kulinganisha na marehemu kwenye uandishi sipendi, kama uko hapa celeb kulinganisha mtu na marehemu unakwama sana. Haya turudi kwenye hoja ya msingi..... Mjini kuna msiba wa wa kaka/baba mmoja wa mjini kwa jina...
  6. Wale wajuvi wa jiji hapa wapiii

    Wale wajuvi wa jiji hapa wapiii
  7. Service Levy ya halmashauri ya jiji Temeke sasa ni kodi ya ujenzi wa madarasa na barabara

    Mimi ni mfanyabiashara, nwishoni mwa mwaka jana niliwekwa mahabusu kwa kukataa kulipa tozo ya kuzoa takataka za wamachinga! Kukataa kwangu kulitokana na kuamini kodi hiyo ya huduma ni kwa ajili ya uzoaji takataka na huduma nyingine, hatahivyo niliambiwa kwa sasa kodi hiyo ni kwa ujenzi wa...
  8. CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

    Rais Samia amefungulia mikutano ya hadhara, na katika majiji ambayo Chadema wanajiwinda kuyadhibiti ni Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es salaam. Wanatafuta ajenda nzito za kutikisa na kuwashika wananchi. Arusha walifanya tukio, Sasa hivi wote wananyea debe, angalau wanaarusha wanaelewa hatua...
  9. Mkurugenzi Jiji la Mwanza ashtakiwa TAMISEMI madai ya kuuza viwanja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'amemshtaki' mkurugenzi wa jiji hilo, Sekiete Yahya kwa Wizara ya Tamisemi ambayo ndio mamlaka yake ya nidhamu, akimtuhumu kuhusika na uuzaji wa viwanja viwili vyenye thamani ya Sh1 bilioni. Wakati barua ya mashtaka ikitua Tamisemi, Malima ameagiza watumishi...
  10. Jiji la mwanza limejaa washamba na malimbukeni

    Mji wa Mwanza umejaa washamba na malimbukeni.
  11. DOKEZO Kwako Ummy Mwalimu - Mbunge wa Jiji la Tanga na Waziri wa Afya

    Heri ya mwaka mpya!! Odo Ummy wakati unatembelea hospital huko Dar bas huku tanga hospital ya mkoa, hospitali ya Bombo ni jipu. Nieleze kisa kifupi, mwezi ulioisha tulikua na mgonjwa, ni mama mjamzito uzuri alijifungua kwa uzur kabisa shida inakuja hio bill, Wanabambikia watu mnoo yani...
  12. Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu

    Kutokana na maiti kukosa ndugu wa kuzipa heshima ya mwisho, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imezika jumla ya maiti 59 zilizopokelewa katika kipindi cha Januari hadi Desemba 19. Mapema mwezi huu, gazeti hili liliibua sintofahamu ya miili 19 iliyokuwa imekosa ndugu hivyo kutakiwa kuzikwa kwa mujibu...
  13. T

    Je, Halmashauri ya Jiji mnataka kutuletea kipindupindu wakazi tunaoishi karibu na Soko la Mbogamboga la Ilala? Njooni mzoe taka zenu

    Habari zenu! Jana wakati narudi zangu nyumbani usiku nikakatisha mtaa wa Nzasa unapokutana na Mtaa wa Morogoro hapa ilala ,jijini dar-es-salaam nikakutana na rundo la takataka .Ni muda takribani wiki sasa halmashauri ya jiji imeshindwa kazi ya kulifanyia usafi soko kuu la mbogamboga la ilala...
  14. T

    AIBU: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam walipeni wafanya usafi wa Soko la Ilala, hali ya soko ni mbaya

    Habari zenu wakuu! Siku ya jana nilifanikiwa kupita mitaa ya Soko la ILALA, jijini Dar-es -salaam,maarufu kwa uuzaji wa mbogamboga na matunda. Nilikuta hali ya usafi wa soko hilo ni mbaya kabisa kiasi kuhatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa za matunda na mboga mboga. Yapata miezi...
  15. B

    Ushauri kwa jiji la Dodoma kuondoa foleni round about darajani njia ya kwenda Mwanza mida ya jioni

    Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
  16. M

    Kinondoni tunalipa hela za taka ila magari ya kuzoa taka hatuyaoni

    Mhe. Mkuu wa Mkoa leo unakabidhi vifaa vya usafi hapa Makumbusho, lakini sisi wakazi wa hapa tunasikikitika kuwa mataka taka yamejaa kwenye majumba na mitaa yetu, hayachukuliwi kwa wakati huku tunalipa ada zetu kilamwezi. Mfano, sisi wakazi wa Bwawani gari hatulioni mtaani na pia kwenye eneo...
  17. Posta Dar es Salaam ndio uso wa jiji, serikali yazinduka

    Baada ya SSH kuingia madarakani na baada ya SErikali ya Chama kimoja kuanzia meya, mkurugenzi na watendaji wengine JIJI la Dar limekuwa hovyo kupita maelezo, utashangaa POSTA mtu anapika wale, anaoga, bodaboda zinafunga barabara na hakuna la kuwafanya, wauza nguo wa karume wamesheheni posta, na...
  18. Jiji la Dar es Salaam limekauka, hakuna maji

    Yaani Maji ni hakuna
  19. Tatizo la Maji nchini na hasa jiji la Dar hakuna njia mbadala kumaliza tatizo hili? Mimi napendekeza hili

    Hivi haiwezekani kutumia teknolojia ya maji taka yote kwenye vyoo vyetu kwenye majiji yetu Yale maji taka yarudi kwenye mzunguko kwa kuyatreat ili yawe maji safi na Salama? Kuna nchi moja nilitembelea ughaibuni mwenyeji wangu aliniambia wanatumia system hii ila sikumtilia maanani nilikuwa...
  20. M

    Jiji lina mayfly over ya hatariiii lakini maji hamna

    Ni aibu kubwa sana kutumia matrillion kujenga mayfly over wakati wananchi hawana maji. Je wangeacha tu kwa mda kujenga daraja la Tanzanite na iyo hela zaidi ya billion 500 kuwekeza kwenye maji si ingekuwa maendeleo zaidi? Wananchi wamebaki kunywa na kuoga maji ya chumvi gizani. Aibu kweli kweli.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…