jiji

Jiji refers to an ethnic and linguistic group based in Kigoma Region, Tanzania.
If tribes are classified by language and not by race, Bajiji (Jiji people) are part of Baha (Ha people) since their language is the same. Traditionally they were organized into a separate kingdom, Bujiji (Swahili Ujiji, same as the Arab town of Ujiji near Kigoma), and formed part of Buha (Uha, Ha territory) with other kingdoms: Heru, Bushingo (Ushingo), Ruguru (Luguru), Muhambwe and Buyungu, all of them in Kigoma Region, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Halmashauri ya Jiji DSM

    Jiji la Dar kufanya kazi kikanda

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetoa taarifa kwa Umma na wadau kwa ujumla kupitia vyombo vya habari kuwa,imegawanya eneo la Jiji katika kanda za kiutawala ili kurahisisha utoaji wa huduma unaolenga kutoa huduma zenye ubora na usawa kwa jamii kwa kuzingatia utawala bora na kutumia...
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    Ni jiji lipi linampa mtu fursa ya kuanza biashara na kukua kwa biashara yake?

    Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana. Mfano ukifungua duka la accecories za simu Dodoma/Arusha, kukua kibiashara ni rahisi kuliko kufungua duka kama hilo Dar es Salam. Watu wengi kwa...
  3. N

    SoC03 Tahadhari jiji la Mwanza

    Miongoni mwa Mikoa ambayo nimewahi kutembelea nchini Tanzania ni Mkoa wa Mwanza 'rock city' ambao umebarikiwa vitu vingi vizuri; Ziwa Victoria lenye samaki pendwa na watamu aina ya Sato na Sangara lakini mbali na Ziwa Victoria, Mkoa wa Mwanza pia umebarikiwa miamba na mawe makubwa (rocks) yenye...
  4. FaizaFoxy

    Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

    Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah. Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah: Tena sasa kuna "virtual tour" ya Madinah, bofya chini...
  5. Bizo ALBERT ROBERT

    Udhibiti wa taka ngumu: kuthamini taka za kikaboniki ili kuweka jiji la Dar es Salaam katika hali safi

    USULI NA UHALALISHAJI Udhibiti wa taka ngumu ni muhimu kwa afya na ustawi wa mazingira. Kadiri ukuaji wa miji unavyoendelea na matumizi ya kimataifa yanaongezeka. Jiji la Dar as salaam linakabiliwa na changamoto mbalimbali za udhibiti, ukusanyaji, uhamisho, usindikaji na utupaji wa taka...
  6. BARD AI

    Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji Dar afikishwa Mahakamani kwa kutakatisha Tsh. Bilioni 8.9

    Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Alinanuswe Mwasasumbe (60) amefikishwa katika Mahakaka ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka 13 yakiwemo ya kughushi nyaraka, matumizi mabaya ya madaraka, kutakatisha fedha na kuisababishia hasara Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya...
  7. Pfizer

    Barabara ya Mwendokasi kutoka Maktaba hadi Tegeta kuanza kujengwa, Ubungo Kimara kufumuliwa

    Kwa ufupi sana Serikali ya Tanzania kupitia Tanroads leo 30 Juni 2023 inasaini Mikata Minne ya ujenzi wa miundombinu ya Usafiri wa haraka wa Mabasi (BRT) awamu ya nne. Inaanza kujenga barabara ya Magari yaendayo haraka kutoka Katikati ya Mji (Maktaba) hadi Tegeta, ambayo itajengwa na...
  8. peno hasegawa

    Ni nini hatima ya maelfu ya hotel za kitalii zilizopo jiji la Arusha?

    Uuzaji na ubinafsishaji wa mali za wananchi watua huko Kilimanjaro. Kuna kila dalili hali ikawa mbaya kwa wananchi waliojenga mahotel ya Kitalii arusha mjini kwani: 1. Watalii watashuka uwanjani watalala hapo hapo uwanjani na asubuhi wataondokea hapo kwenda National Park. 2. Wakitoka National...
  9. Mwachiluwi

    Mwaza mkoa au jiji kubwa lakini watu wake hawabadiliki kwanini?

    Hi Mwanza ni jiji nzuri sana na lina muongiliano mkubwa wa watu kwa maana ya watu kutoka mikoa tofauti iko pale lakini watu wake bado wana ushamba sana licha ya kuwa na muingiliano mkubwa kwanini hawataki kubadilika? Pia mwaza biashara kila kona iz ndogo ndogo sijajua kama mwaza mzungu wa...
  10. kavulata

    Jiji bila timu ya ligi kuu ni kama kuvaa fulana bila bukta

    Mji kuitwa Jiji sio lelemama. Jiji huwa na vitu vingi sana kuliko mji na halmashauri. Unapoona jiji linashindwa kuwa na timu ya ligi kuu ni ama hilo Jiji limeharakishwa kuitwa Jiji kisiasa au viongozi wa hilo Jiji hawapaswi kuongoza hilo Jiji. Mpira unapendwa duniani kote na unatoa Burudani na...
  11. Zacht

    Marekani: Halmashauri ya jiji lenye Waislamu wengi limepiga kura kupiga marufuku bendera za LGBTQ katika maeneo ya umma

    Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
  12. Nyuki Mdogo

    Jiji Gumu kama Dar kuna watu wanaishi kwa mshahara wa laki 1 na elfu tu kwa mwezi

    Dar ni ngumu sana, Mnawezaje kuishi kwa elfu 4 kwa siku mkiwa na familia? Kuanzia kodi, nauli, kula kutwa mara 3, kuugua na kuuguliwa, mambo ya shule n.k Gharama zote hizi mtu anaziweza kwa 120,000?
  13. LA7

    Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi. Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city. Alifurahi sana...
  14. FRANCIS DA DON

    Jiji la Dar ikifika Jumamosi, Lodge, Guest na hotel za nyota ndogo zote hujaa. Shida nini hasa?

    Siku hizi kama unatoka safari kuja Dar, basi jitahidi usifike huku Jumamosi usiku, wallahi utalala stand.
  15. anti-Glazer

    RC Chalamila aanze kazi sasa, hali ya Jiji ni tete

    Kama ni maneno yanatosha. Anza kazi mzee wa mdomo. Tegeta mafuriko, Mbagala Kijiji, Bunju Panyaroad wamekaa wakila timing. Kigamboni changamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as usual, Mitaa, Mashina hayana viongozi. Yaani jiwe aliharibu Nchi.
  16. Heci

    CCM haikujenga uwanja wa Sokoine Mbeya, iliwapora wananchi. Uwanja urudishwe kwa Halmashauri ya Jiji la Mbeya

    Sisi wana Mbeya ni wahanga wa matukio ya kibabe ya kidhalimu yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa na chama hiki mumiani. Miongoni mwa udhalimu huo ni kuporwa kwa uwanja wa wananchi, uwanja wa Sokoine kisha CCM kujimilikisha. Uwanja wa Sokoine ulijengwa na wananchi wa Mbeya Mjini, kisha...
  17. MSAGA SUMU

    Tetesi: Mchakato wa kuifanya Kigoma kuwa jiji umefikia pazuri

    Viongozi kadhaa wa Kigoma kuwa jiji umefikia hatua nzuri na labda kutangazwa mapema kuliko watu wengi wanavyodhani. Group la viongozi la WhatsApp linalopush hii agenda limesema Mambo yameiva kilichobaki ni suala la muda tu. Wataalam wa siasa za Kigoma wanadai huenda Zitto Kabwe akawa meya wa...
  18. BigBro

    Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

  19. M

    Mahubiri yamezidi kuwa holela sana. Tatizo ni Viongozi wa jiji

    Asubuhi ninapokwenda Kariakoo kwenye mishemishe zangu lazima niwahi kupanda Mwendo kasi pale Mbezi mwisho. pale ninaposubiria gari kuna wale jamaa walioweka Spika zao na kakikapu ka sadaka huku wakihubiri, huwa nashindwa kuongea na Simu sababu ya sauti za spika. Afadhali ingekuwa ni mara moja...
  20. KING MIDAS

    Chalamila karibu Dar, jiji hili linataka mtu mtata na mwenye matata kama wewe

    Jiji la Dar es Salaam ndilo jiji lenye amsha amsha kuliko jiji lingine lolote. Ndilo jiji lenye bandari kubwa nchini, uwanja wa ndege mkubwa, barabara za kutoka sehemu zote nchini huishia Dar. Dar ni jiji la maraha na karaha pia. Matapeli, vibaka, majambazi, wezi, na machanguduoa pia. Mitume...
Back
Top Bottom