Yani hata nikiendaga Dar basi nakaa siku 3 tu, siku ya kwanza nafika, ya pili nafanya kilichonipeleka, ya tatu ndukii, kasoro labda kama kuna uhitaji wa kukaa zaidi.
Napenda kuishi miji midogo ama kama ni jiji basi iwe miji midogo nje ya jiji,
Napenda sehem iwe nimezungukwa na mimea zaidi...