Jiji refers to an ethnic and linguistic group based in Kigoma Region, Tanzania.
If tribes are classified by language and not by race, Bajiji (Jiji people) are part of Baha (Ha people) since their language is the same. Traditionally they were organized into a separate kingdom, Bujiji (Swahili Ujiji, same as the Arab town of Ujiji near Kigoma), and formed part of Buha (Uha, Ha territory) with other kingdoms: Heru, Bushingo (Ushingo), Ruguru (Luguru), Muhambwe and Buyungu, all of them in Kigoma Region, Tanzania.
Hello JF.
Karibu tukuhudumie katika
Mahitaji ya kununua Nyumba katika maeneo mbalimbali ya jiji kama igoma nyegezi kisesa n.k
Kununua viwanja na mashamba ndani ya jiji la mwanza sehemu kama Fumagila bado kuna mashamba makubwa yanahitaji wanunuzi
Viwanja vipo vyenye hati na visivyo na hati...
MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MADAWATI 590 KWA SHULE ZA DODOMA JIJI
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde amekabidhi madawati 590 yenye thamani ya Tsh 70,000,000 kwa shule za Msingi Dodoma Jiji ili kukabiliana na upungufu wa madawati uliosababishwa na ongezeko kubwa la usajili wa...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe Abdallah Mtinika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kuipa hadhi ya kuwa Jiji Manispaa ya Temeke.
Mstahiki Meya ametoa ombi hilo leo mbele ya vyombo vya habari wakati wa baraza la Madiwani lililoketi kikao cha robo ya...
Wakazi wa Dar es salaam kwa siku mbili mfululizo tunachota maji yaliyo na vumbi katika mabomba ya Dawasco.tunaomba uongozi wa Dawasco iwajibike kwa uzembe wa kushindwa kuyatibu haya maji,wananchi tuna wasiwasi na haya maji yanaweza kuwa na wadudu waenezao magonjwa
Jamani naomba msaada wa kujua kama Biashara ya Bajaji ya Abiria inalipa kwenye jiji la Arusha?
Maana kwa sasa na bei imepanda sana ni 7.5 mpya. Nimevutiwa kununua nimpe kijana anileteee pesa kwa Siku ama wiki, mwenye uzoefu na hii kitu naombeni jamani!
Pia soma: Wazoefu wa biashara ya boda...
Habari zenu ndugu zangu wa Wana JF,
Mimi ni kijana mwenye taaluma ya utabibu na Nina uwezo wa kufanya kazi hyo kwa miaka 2 Sasa. Nina uhitaji wa Ajira hyo ndani ya jiji la Dar es salaam Mana ndipo makaz yang kwa Sasa.
Kama waweza kunisaidia hata connection pia nitashukuru Sana. Hivo nahtaji...
Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.
Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.
Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu...
Akizungumza kwa kujiamini mmoja wa wachangiaji amepinga kuvunjwa kwa jiji kulikoleta mkanganyiko wa hadhi ya maeneo , kwa kutolea mfano wa Chanika kuwa jijini huku Magomeni , Kinondoni , Masaki , Temeke , Mwenge na Mbezi Beach kuwa nje ya jiji .
Ametoa plan ambayo kama ingefanyiwa kazi basi...
Wanabodi, napenda kupata uzoefu kwenu kuhusu hali ya msongamano wa watu wa kila siku za kazi za juma katika Idara hii ya Ardhi Jijini Dodoma ambayo haipunguwi kama wagonjwa wanaokwenda kutibiwa hospitali wakati wa mlipuko.
Nimekuwa mhanga pia wa kuhudhulia katika ofisi hiyo kwa Jambo moja...
Kwa kweli moja ya vitu ambavyo ni kero kwenye jiji la Dar es Salaam na Manispaa zake ni hawa wafagizi wa barabara ambao kwa kweli hawafanyi kazi kwa ukamilifu kwa kuwa barabara nyingi bado ni chafu sana zikiwa zimejaa michanga na vumbi.
Hii inatokana na ukweli kwamba haiwezekani manpower...
Baada ya Rais kulivunja jiji la Dar, nini hatima ya meneja wa Tanesco mkoa wa Kinondoni, Ilala, na Temeke? Nini hatima ya RPC mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke?
Nini hatima ya meneja wa TRA mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke? Je, ni nini hatima za wakuu wa idara za Halmashauri mfano afisa...
Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo?
Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu.
Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo...
Waziri wa Tamisemi Mh. Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala.
Kwa mfano stendi ya mabasi ya mkoani yaani Stendi ya Magufuli itarithiwa na manispaa ya Ubungo nk nk...
KWANINI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM IMEVUNJWA Ni Mawazo Yangu #Joseph #Yona
Kiutawala Jiji lilikuwa limegawanyika katika Halmashauri sita za Serikali za mitaa ambazo ni:-
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni...
Kuna wakati mtu unajiuliza sana, hivi sisi watanzania tuna matatizo gani?
Yaani kuvunjwa kwa Jiji la Dar es salaam ndiyo story kuliko hili janga ambalo linawamaliza ndugu zetu kila siku?
Wewe uliyeko Mbeya unafaidika nini na kuvunjwa kwa jiji la DSM mpaka ukasahau kujadili namna ya...
Wakuu Mimi chombo changu kikuu na pekee cha habari ni mitandao ya kijamii. Sio gazeti, radio wala TV. Kwa sababu huku napata habari isiyoghoshiwa (Censored) kwa kiasi fulani. Sasa nimepotea kidogo tu nakutana na malalamiko mengi sana kuhusu Ilala kuwa jiji, kuhusu maamuzi aliyofanya Mkuu...
Mji wa Dar es Salaam ulikuwa ni sehemu tu ya mkoa wa Pwani, kutokana na idadi yake kubwa ya watu wanasiasa waliamua ujitenge ili uwe mkoa unaojitegemea. Ilala, Kinondoni, Temeke na Ubungo ilikuwa ni mitaa tu ya mji wa Dar es salaam ambayo baadae wanasiasa waliigeuza kuwa wilaya/halmashauri ili...
Habari za wakati huu wakuu, natumaini wote tu wazima buheri wa afya na mafua ya kubana yatupitie mbali, twende kwenye mada moja kwa moja.
Mamlaka za Serikali za Mitaa zinajulikana kama halmashauri, hizi mamlaka zipo ngazi tofauti tofauti kuanzia chini hadi ngazi ya juu. Ngazi za chini ni...
Rais Magufuli ameivunja Halmashauri hiyo na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia leo Februari 24, 2021
Ameipandisha hadhi Halmashauri hiyo kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 5(1) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za...
Mheshimiwa Rais Magufuli leo ametangaza rasmi mchakato wa kulifuta jiji la Dar ambalo linatokana na manispaa tano za mkoa wa Dar (Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni) ili kuunda jiji jipya (jiji la Ilala?) ambalo litatokana na manispaa moja tu ambayo ni ilala. Sababu kubwa aliyoitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.