Habari JF?
Mimi nahusika na kutafutia watu viwanja na mashamba, nawaunganisha na wauzaji kwa bei nafuu kabisa.
Kwa sasa nina kiwanja maeneo ya kisesa karibu na round about ya usagara, mita 200 kutoka lami.
Size yake ni 25*30
Miundo mbini yote ipo, umeme na maji yapo karibu
Bei yake ni...
Jiji la Mwanza lina changamoto ya msongamano wa magari kwa sababu barabara inayounganisha Mwanza na Tanzania ina njia mbili tu. Hiyo ni barabara ya Kenyatta. Barabara inayounganisha Mwanza na njia ya Kenya ina njia 3.Ni barabara ya Nyerere.
nini kifanyike?
Magari ya Abiria yasiingie katikati ya...
Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini,
Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze?
Tukale...
Wamachinga ni wafanyabiashara wadogo wadogo wanaotafuta riziki zao kama wafanyabiashara wengine.
Wana familia, watoto, wajukuu ndugu n.k. Wamachinga wanashiriki pia katika kukuza uchumi wa nchi na hivyo wasipuuzwe. Katika siku za karibuni kumetolewa tangazo kuwa Wamachinga wanaopanga bidhaa...
Zaidi ya wanafunzi 600 katika shule za msingi mbili za Kayenze na Chasubi zilizopo kata ya Kayenze halmashauri ya Ilemela wanasoma wakiwa chini kutokana na ukosefu wa madawati.
Aidha, changamoto nyingine inayotajwa katika shule zote mbili ni upungufu wa walimu ambapo jumla ya wanafunzi ni 3100...
Kiwanja chenye nyumba na frem za maduka kinauzwa Igoma Jijini Mwanza
Details
Size: hatua 60 kwa 40 (hatua za miguu za mtu mzima)
Huduma zote za kijamii zipo wakuu wangu.
Eneo lilishaendelea zamani tu ndio maana bei imechangamka.!!
Bei: 75 million.
Piga simu 0683011003
JINSI YA KUFIKA...
Saa Nne Kamili Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan atawasili mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.
Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika Ziara hii anatarajiwa kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali mkoani Mwanza ukiwemo wa ujenzi wa daraja la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.