jimbo la hanang

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Asia Halamga: Nyie ni Mkono wangu wa Kuume, mkinichagua nitakuja kulala kwenye Kata zenu

    Mgombea Ubunge Jimbo la Hanang Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Asia Halamga amesema kuwa m iwapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge Wa Jimbo hilo atahakikisha anamalizia miradi iliyoanzishwa anamalizia na kujenga miundombinu ya huduma muhimu Katika kata ambazo hazijafikiwa na huduma hizo. Halamga...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mary Nagu achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Hanang

    Wakuu, Mwanasiasa mkongwe na mzoefu, Dkt. Mary Michael Nagu, amejiunga rasmi katika mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Hanang kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Dkt. Nagu, ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Hanang kwa vipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…