jimbo la karagwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 Innocent Bashungwa achukua fomu kutetea ubunge jimbo la Karagwe

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Innocent L. Bashungwa amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Karagwe, mkoani Kagera kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Bashungwa amechukua fomu hiyo na kuirejesha kwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi...
Back
Top Bottom