Kwa kweli TANROADS barabara zenu huku jimbo la kibamba ni mbovu mno tena mno. Mnajua lami jimbo hili ni chini ya asilimia tano. Mbona hamuyaonei huruma ya watu? Mbona hamuonei huruma wananchi wanaosota kweli kweli kwa kukosa usafiri barabara zinapokuwa mbovu? Kwa kweli ni hatari sana.
Ebu cheki...
Ameandika hivi kupitia twitter:
Tumekusanya matokeo ya uchaguzi katika vituo vyote 336 vya kupigia kura Jimbo la Muhambwe. Kura zetu, 41% ya kura zote, haziwezi kutupa Ushindi. Uchaguzi uliendeshwa vizuri. Kasoro kadhaa zilizojitokeza zisingebadili matokeo. Tunatumia uchaguzi huu kama Mafunzo...
Hilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa.
Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM vs TLP ya Mrema.
Jimbo analotoka kiongozi wa juu lazima liwe na usalama wa kutosha.
Kazi Iendelee!
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde akiongozana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaj Mustafa Rajabu Shaban leo amekutana na walimu,maimamu na masheikh wa kata wa Jiji la Dodoma na kutoa salamu zake na ujumbe kuelekea sikukuu ya Eid El fitri katika hafla iliyoenda sambamba na...
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.