Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI amesema Jimbo hilo lina Vituo vya Afya katika Kata za Mkuyuni, Mikese na Mkulazi lakini havina vyumba vya kuhifadhia maiti hivyo kusababisha maiti kwenda kuhifadhiwa...