jimboni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ni HAKI mbunge kuwauzia wapiga kura jimboni maji au sukari?

    Salaam ,Shalom!! Kwa Mfano hapa Dar Es Salaam na maeneo mengine penye uhaba wa maji na shida ya kupatikana maji, Ni HAKI Kweli mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kutuuzia wananchi maji kupitia kampuni zake? Shida ya maji itakuja kwisha Kweli? Ni sawa Kweli wabunge kupitia kampuni zao kupewa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Prof. Ndakidemi Agawa Majiko ya Gesi Jimboni Kwake

    MHE. PATRICK NDAKIDEMI, MBUNGE AGAWA GESI JIMBONI KWAKE. Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Mhe. Prof Patrick Ndakidemi leo tarehe 06.03.2024 aliwaalikaa Viongozi wa Matawi wa Chama cha Mapinduzi CCM(Wenyeviti wa Matawi, Makatibu wa Matawi na Wenezi wa Matawi) wote katika Jimbo la Moshi...
  3. JF Toons

    Utafanya nini kuleta uwajibikaji ikiwa jimboni kwako kuna mwanasiasa kama huyu?

    Utafanya nini kuleta uwajibikaji ikiwa jimboni kwako kuna mwanasiasa kama huyu?
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester na DG RUWASA, Kivegalo Wafika Chilulumo, Ivuna na Kamsamba Kutatua Changamoto ya Ukosefu wa Maji Vijijini Jimboni Momba

    MBUNGE CONDESTER NA DG RUWASA ENG. KIVEGALO WAFIKA CHILULUMO, IVUNA NA KAMSAMBA KUTATUA CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA MAJI VIJIJINI, JIMBONI MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe leo tarehe 09 Disemba, 2024 ameendelea na ziara akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement...
  5. S

    Wananchi jimboni kwa Mwigulu wapaza sauti kuomba msaada wa barabara

    Wananchi wa Jimbo la Iramba hususan wakazi wa Maeneo ya Kinampanda na maeneo jirani tulamlalamikia mbunge wetu Mwigulu Nchemba kwani barabara za vijijini ni mbaya sana na hazipitiki hasa kipindi hiki cha mvua. Mfano mdogo barabara ya kuingia Kituo cha Afya Kinampanda imejaa utelezi haipiti...
  6. Kamanda Asiyechoka

    Video: Waziri na mbunge wa Tanga akila kwa anasa huku akisahau wananchi jimboni kwake wana dhiki

  7. B

    Dkt. Samizi ashiriki harambee ujenzi wa Kanisa Jimboni

    Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuwa mstari wa mbele kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo na kijamii katika Jimbo lake la Muhambwe mkoani Kigoma na wikendi hii Jumapili alishiriki misa takatifu iliyoendeshwa. Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo Kuu la Kigoma, Joseph Mlola kisha kushiriki...
  8. Teko Modise

    Jerry Slaa akagua daraja la Bilioni 17 jimboni kwake

    Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto. Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la maendeleo. Hakika wananchi wa jimbo la Ukonga wamepata Mbunge mchapakazi na mzalendo anayefanya miradi ya...
  9. Sildenafil Citrate

    Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa anazungumza na waandishi wa habari Muda huu kuhusu sakata la Bandari na uwekezaji wa DP World. === Kuna watu wanatumika kwa maslahi yao binafsi kumuondoa kwenye reli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye utendaji wake wa kazi...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Jimbo la Igunga aendelea na ziara Jimboni

    📍 Igunga, Tabora ❇️ MBUNGE NGASSA KUANZA ZIARA JIMBONI ❇️ KUHUTUBIA MIKUTANO SITINI (60) ❇️ KUFANYA ZIARA KATA KUMI (10), VIJIJI THELATHINI (30) Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, anaanza ziara ya Kikazi Jimboni kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Bunge la Bajeti kwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Jafari Chege Wambura aendelea na ziara Jimboni Rorya

    "Naomba Mbunge utusaidie kujenga nyumba za Walimu, Walimu wako tunakaa kwenye nyumba ambazo zimejengwa mwaka 1979, nyumba zetu hazina siri, tunashindwa kuwa na faragha na familia zetu, naomba Mheshimiwa Mbunge ulione hilo" - Mwalimu, Kata ya Mirare Jimbo la Rorya "Lakini pia upande wa wanafunzi...
  12. Doctor Mama Amon

    Protase Rugambwa: Askofu Mwandamizi Anayeripoti Kituo chake cha Kazi Jimboni Tabora 25 Juni 2023

    Jumapili ijayo Juni 25, 2023, jimbo la Tabora linampokea askofu mkuu Protase Rugambwa akitokea Roma alikokuwa kwenye jopo linalomsaidia Papa kuongoza kanisa duniani. Jopo hili linaitwa "Roman Curia" lina idara zinaitwa "dicastery" na moja ni ya "Uenezaji Injili Duniani". Akiwa bado padri...
  13. B

    Ridhiwani ashusha Wadau kutoka Korea kuunga mkono shughuli za maendeleo Jimboni Chalinze

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete licha ya shughuli zake kubwa za kitaifa kama Naibu Waziri lakini kamwe hasahau Jimbo lake na amekuwa mstari wa mbele kila siku kusukuma na...
  14. B

    Mbunge Samizi amshukuru Rais Samia kwa kuwapatia gari la kusimamia elimu Jimboni

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameishukuru Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Jimbo lake la Muhambwe gari kwa ajili ya usimamizi wa maendeleo ya elimu ya sekondari. Gari hilo limeshakabidhiwa Jimboni tayali kwa usimamizi wa elimu...
  15. Stephano Mgendanyi

    Ndaisaba George Ruhoro achangia ujenzi wa Miardi ya Chama na Serikali Jimboni Ngara

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Katika kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Machi 27-29, 2023 alipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo alichangia kiasi cha TZS 9,900,000/= kwaajili ya Ujenzi wa Miundombinu ya Maendeleo kwa Chama Cha Mapinduzi na...
  16. benzemah

    Majimbo 214 kuchota bilioni 15.9 kuchochea maendeleo ya wananchi jimboni mwaka wa fedha 2023/24

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 15.99 kwa ajili ya mfuko wa jimbo kwa majimbo 214 ya Tanzania Bara katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi Bungeni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala...
  17. Chizi Maarifa

    Mbunge Mwita Waitara amwaga machozi mbele ya Wanahabari

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti. Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Igalula, Venant Daud aendelea na ziara jimboni, achangia madawati 300

    MBUNGE IGALULA, MHE. VENANT DAUD AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA MADAWATI 300 Mbunge wa Jimbo la Igalula Mkoa wa Tabora Mhe. Venant Protas Daud amefanya ziara ya siku tano kuanzia tarehe 27 Februari 2023 mpaka tarehe 03 Machi 2023 katika Kata Nne zilizomo Igalula ambazo ni Kata ya KIGWA...
  19. tofyo

    DOKEZO Upo uhalifu unaofanywa ndani ya kanisa la Roma jimboni Geita

    Habari wakuu, Samahani kwa kuchelewesha habari, kwasababu za kiusalama. Lakini Taarifa hii iende kwa askofu mkuu wa Jimbo la Geita na mamlaka zingine za serikali. Nyuma ya eneo la kanisa jimboni ipo njia ya mkato kwa wenyeji wa Geita kukatiza kutokea Nyankumbu mbugani kutokea Geita mjini. Hio...
  20. B

    Dkt. Samizi aendelea na ziara Jimboni, achangia ujenzi wa vyoo, chumba cha kujifungulia kinamama n.k

    DKT. SAMIZI AENDELEA NA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA UJENZI WA VYOO, CHUMBA CHA KUJIFUNGULIA KINAMAMA N.K. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali Jimboni na kuchangia fedha ujenzi huku akisikiliza kero za...
Back
Top Bottom