jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. Mama unayefungua nchi muandikie Barua Rais huyu atutembelee anamashabiki wengi Tanzania na jina tumempa

    Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un
  2. Makonda: Stendi mpya Iringa ipewe jina la Chongolo

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amesema ataishawishi Serikali na Uongozi wa juu mara baada ya kukamilika kwa stendi mpya Iringa ili ipewe jina la aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kwakuwa ameacha alama ndani ya CCM. Makonda amenukuliwa akisema...
  3. Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

    Kwa vile huyu ‘mama’ yetu amekuwa ndo Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania [kama siyo Afrika na hata dunia nzima], mimi naenda mbali zaidi na kutaka awekwe tu kwenye noti. Mimi napendekeza jina la Bandari ya Dar es Salaam libadilishwe na iitwe Bandari ya Samia/ Port of Samia. Mama kaleta...
  4. Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  5. T

    Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

    wakuu mambo ni vipi Embu Leo Taja jina la mtu ambaye hujawahi Kulisikia tena baada ya kukutana na mtu analitumia. Mimi nilikutana na jamaa anaitwa drufiano lile jina sijawahi kulisikia sehemu nyingine hata gugo halipo. Taja jina ambalo ulikutana na mtu analitumia hujawahi kulisikia tena mahali...
  6. Pre GE2025 Mbunge Edward Olelekaita: Hakuna tatizo kubadili jina la Tume ya Uchaguzi

    Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya Uchaguzi iitwe jina gani, hivyo hakuna tatizo katika kubadili jina la sasa ambalo ni Tume ya Taifa...
  7. Shemsa Mohammed Katika Mapokezi ya Makonda Mkoani Simiyu, Akitawazwa Jina la Bagolole

    Cde. Shemsa Mohammed Katika Mapokezi ya Makonda Mkoani Simiyu, Akitawazwa Jina la Bagolole. KATIBU wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda amewasili Mkoa wa Simiyu kwa ajili ya kufanya ziara ya kikazi, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya mikoa 20 backo to...
  8. Kutotaja jina la papa wa madawa ya kulevya ni kutengeneza mazingira ya ufisadi

    Jana Kamishina wa Mamlaka Kudhibiti na kupambana na madawa ya kulevya (DCEA) Bw. Lyimo alitangaza kumnasa mmoja wa Mapapa wakubwa duniani wa biashara ya madawa ya kulevya akiwa na wenzake watatu. Papa huyo aliyekamatwa na zaidi ya gram 600 za cocaine hajatajwa jina hivyo hakuna mwananchi ye yote...
  9. Jina zuri la mtoto wa kike

    Wakuu habari za uzima? Poleni na mihangaiko ya kuendelea kulijenga taifa letu. Wakuu naomba suggestion ya jina la mtoto wa kike zuri. Ahsanteni.
  10. Samia tangu arithi Urais 2020's, Jerry Silaa Pekee ndio mtendaji, Wengine wapeni jina!

    Jerry Slaa pamoja na mapungufu yake kisiasa hasa kulaumiwa kwa ubovu wa Barabara za Kivule na Gongo la Mboto kitu ambacho kinahitaji bajeti kubwa na inatoka kwenye wizara na ni nje ya uwezo wake, amejifumua uozo na urasimu uliopo kwa makamishan wa ARdhi Pale Wizarani Dar es salaam na Kibaha...
  11. Catherine Magige hajui jina wala jimbo la Luhaga Mpina

    Nimeshangazwa sana na video ya mbunge wa vijana (CCM) Catherine Magige ambaye hana hata jina katika nchi hii akimshambulia mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM). Katika video hiyo, ameonekana akimuita Luhanga mpina jambo ambalo dhahili linaonesha hafahamu jina lake labda kwakuwa sio mfuatiliaji...
  12. Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?

    Kwenye ulimwengu wa sasa kuna kipindi unachukua namba ya mtu na unashindwa kumsave kwa jina lake, sometimes husababishwa na majina kufanana au kutomfahamu vizuri aliekupa namba. Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?
  13. Ijue Asili ya jina Taifa Stars

    Majira ya saa mbili usiku wa leo, timu yetu ya taifa, Taifa Stars, itakuwa na kibarua dhidi ya Morocco kwenye AFCON. Wakati tunaisubiri mechi hiyo muhimu, si vibaya tukafahamu asili ya jina la TAIFA STARS. Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Paul West Guivaha, ndiye aliyetunga jina la timu...
  14. Jina gani la Kibantu ambalo umewahi kulisikia hapa nchini likakuduwaza?

    Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!. Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI 1. MLANGO Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani...
  15. Ujumbe kwa DPP juu ya kumfutia Kesi ya Jina Pauline Gekul

    Mosi, hili shauri limefunguliwa chini ya Kifungu 128(2) cha CPA na mshtaki binafsi (private prosecutor), ambapo utaratibu huu sheria inamtaka Hakimu kwanza AJIRIDHISHE kuna ushahidi wa kutosha kabla ya kuanzisha mashtaka. Hakimu alifanya hivyo na akakubali kuanzishwa kwa mashtaka kwa sababu...
  16. B

    Jina "Nyengombili" ni wenyeji wa mkoa gani na kabila gani?

    Naomba kujua tafadhali. Jina Nyengombili ni kabila gani na wenyeji wa mkoa gani? Maana ya jina nini? Nimelipenda sana hilo jina nataka nimuite mwanangu
  17. Experience yangu na wanawake wanaoitwa jina Flora

    Akina Flora wengi wanakuwaga wapiganaji sana kwenye maisha. Wengi wanakuwaga smart sana kwenye mapambano ya maisha. Na wengi wao huwa wanafanikiwa sana kiuchumi. Sijawahi kumfahamu mwanamke anae itwa Flora ambae sio mpiganaji kwenye maisha.
  18. Jina Kilimanjaro stars kwa timu yetu ya football kwa wachezaji wa bara linachanganya.

    Habari za wakati huu ndugu zangu katika jukwaa hili? Hivi ni sahihi hii timu kuitwa Kilimanjaro stars ilhali jina kilimanjaro linawakilisha mlima na mkoa? Inaleta contradiction. Kwanini kama lengo ni kuutangaza mlima isiwe specific timu ikaitwa Mount Kilimanjaro Stars kuliko hivi sasa ambapo...
  19. Kituo cha basi Magufuli hakijabadiliswa jina. Wafuasi wa CHADEMA walipotosha mitandaoni kwa nia ovu

  20. Tuache uchochezi. Stendi ya Magufuli haijabadilishwa jina lake mpaka sasa

    Nimeanza kuamini kuwa inawezekana serikali nayo ipo nyuma ya hizi tetesi za hovyo hovyo zinazosumbua nchi. Kukaa kwake kimya kuhusu jambo linalomhusu Makamu wa Rais liliibua sintofahamu kubwa hadi alipojitokeza hadharani Kuanzia juzi tarehe 17 kumezuka taharuki mitandaoni ambapo wanaoeneza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…