Yaani Mtu Kaiba na Kaua au amesababisha Hatari Kubwa ama katika Jamii au Nchi halafu akihukumiwa na Mahakama kwenda Jela Kisheria asiitwe tena Mfungwa na sasa aitwe Mwanafunzi?
Kwahiyo Mbakaji awe anaitwa Mwanafunzi Mbakaji, Muuaji nae awe anaitwa Mwanafunzi Muuaji huku Jambazi nae awe anaitwa...
Kutokana na mgogoro uliopo hapo ulaya nimesikia kwenye vyombo vya habari mbalimbali lakini vikitaja majina tofauti.
VOA, Mwananchi,Milard Ayo wanasema,wanatamka au kuandika jina Russia lakini BBC,DW wanaripoti jina Urusi.
Sasa swali ni jina gani la kiswahili sahihi kutumika? Russia ni...
Je, kuna ubaya gani ikitokea hivyo?
Imagine wewe ni Juma, lakini wakat una sex na mpenzio anamtaja Benja😅😅😅
Au wewe ni Asha, una sex na Mohammed, mudi wakati yuko katikati ya unono anamtaja Hamida😅😅😅😃😃
Sikatai kumuenzi Mwalimu nyerere,
Lakini hii kasumba ya kumuenzi Mwalimu kwa kuita Majengo jina lake Naona sasa Imepitwa na wakati!
Ifahamike Mwalimu hakuwa malaika! Hivyo tunaweza kufanya bora zaidi kutoka pale alipoishia yeye!
Kuita Shule ya Mwalimu nyerere, ni kuweka speed gavana kwenye...
Wakuu nawasilimuni,
Nimebaini kwamba baada ya jina la Katibu wa Bunge wa sasa Mh. Nenelwa J. Mwihambi kumekuwa na kifupisho cha 'ndc'. Napenda kufahamu nini maana ya kifupisho hicho?
Shukrani!
Imekuwa kawainda mtu fulani kuitwa jina la kabila lake au sehemu anayotoka na jina hilo kumkaa na kukubalika katika jamii anamoishi ugenini kufanya shughuli zake. Majina ambayo yamekuwa maarufu sana utasikia mtu akiitwa muha, mchaga na mpemba, akiwa na duka panaitwa kwa muha, kwa mchaga na kwa...
Habari ya mtandaoni kwasasa ni watu kupita na magari, bajaji, pikipiki, bodaboda katika daraja jipya la Tanzanite.
Wapo wenye kuisifu Serikali ya Mama, Wengine wanamuenzi Magu, wengine wanalaumu kuwa kwanini lisingejengwa Jangwani n.k
Mimi binafsi nimeshangazwa na mkinzano wa jina na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.