Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia
- Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany.
- Janeth yeye anaandika Janethi/Janeti/Janethy
- Mary au Maria yeye anaandika Marry/Merri/Meli/Malia
- Priscilla/Priscillah anaandika...
Kijana ambaye jina lake halijatambulika mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala.
Inaelezwa kuwa askari huyo alikuwa amekwenda kumkamata kijana huyo nyumbani kwake baada ya mkewe kumshtaki polisi...
kwa wanaoelewa sababu zilizopelekea chama cha TANU kugeuzwa kuwa Chama Cha Mapinduzi anijuze tafadhari maana mimi kama mimi sioni haja ya TANU kuwa chama cha mapinduzi.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge.
Mbunge Flatei Massay akiwa amepiga sarakasi Bungeni
unakumbuka awamu iliyopita Mr Membe alipokuwa anatakiwa ale shavu la ukatibu mkuu jumuiya ya madola jina likaondolewa na host country yaani wakubwa wa awamu ya tano?
Basi hayo yamejitokeza kwenye soccer ,kama unadhani walimsamehe Barbara Gonzalez kwa kuidindia ile deal ya kitapeli ya...
Habari wakuu
Nimeijua JF mwaka 2008, nikawa nasoma kimya kimya. Mwaka 2014 nikaona nijiunge rasmi .
Na kwa kuwa binafsi ni mpenzi wa kusoma makala na vitabu mnooo,maana nilifundishwa kusoma na kaka zangu kabla sijaanza darasa la kwanza!!!
Hivyo nimesoma makala nyingi sana humu na kujifunza...
Mr Njaakali hatari naaanza leo kukuleta segment matata iitwayo VAR YA CHAWA kutokana na ongezeko la kutisha la machawa na usambazaji wa kutisha wa fake news
Leo naanza na member aitwaye Crocodiletooth chawa moja hatari lenye blue tick liko verified yaani limepost uzi huu. Kwa bidii ya Rais...
Wadau mi nimeona ni jambo zuri warembo wetu tuwashndanshe, il tujue nan ni miss JamiiForums.
Pga kura kwa mtu mmoja tu, kura yako itaharbka kama utapgia wawil au zaid, karbun wajomba.
Nimekua nikimsikia mama akimtaja baba kama mume wake. Anaweza sema " mume wangu" anapokuwa akizungumza na wenzake.
Wamama wa siku hizi sasa, utasikia anasema " baba chanja wangu"
Tena wengi wetu tunaitwa baba chanja.
Hata mimi leo nimesikia nikiitwa baba chanja alipokuwa akiongea na mwenzie...
Ni jumanne nyingine, hali ya hewa ni rafiki na sio rafiki kwa namna moja ama nyingine. Inategemea na mtu na mtu.
Nimeona sio vibaya nikiuliza na kujifunza kutoka kwa wanaofahamu. Nina amini baadhi ya majina ya maeneo yaliwekwa kutokana na matukio au shughuli ambazo ziliwahi kutokea kwenye...
Tutakapo badilisha jina hili kwa kuliongezea mambo ya kitaifa na ya kimuungano imara zaidi itapendeza sana,ningependekeza kwa wakati tulionao na kwa wakati ujao kwa chama imara zaidi na cha kitaifa jina la chama chetu likawa, "" CHAMA CHA KIMAPINDUZI CHA WATU WA TANZANIA""
Kwa jina hili...
Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA).
Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe...
Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza.
Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza?
Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna...
Nimepata mtoto nataka kukapa hili jina, nilikuwa nataka nijue kwanza asili yake.
Hivi hili jina lina asili ya wapi?
Maana kuna watu kadhaa nawafahamu wanatumia hili jina, wengine ni waislaam, wengine ni wakristu, wengine ni waha na wengine ni wakwere na wengine ni wahindi nk.
Au ndio jina la...
Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!?
Nilikuwa nimeamua kutosema lolote kuhusiana na hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu (kuwa bubu) pamoja na kwamba nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.