jitihada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Juliana Shonza na Jitihada za Kuinua Uchumi wa Wanawake Wilaya ya Songwe

    JULIANA SHONZA NA JITIHADA ZA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA SONGWE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ametembelea vikundi vya ujasiriamali vya Wanawake alivyovianzisha na kuvipa mitaji ili kuwainua kiuchumi kwa shughuli za kujiajiri wanazozifanya Juliana...
  2. M

    Jitihada za Vyama vya Siasa wanazozifanya kwa wanaume, juu ya uongozi kwa mwanamke

    Suala la uongozi ni hakiya raia wote na sio kwa wanaumme pekeo . Kwani Haki ya uongozi imetajwa katika Kifungu cha 21 (3) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kinasema kila Mzanzibari anayohaki ya kushika nafasi yoyote ya kazi na shughuli yoyote iliyoko chini ya Mamlaka ya...
  3. Hivi AU na UN wanafanya jitihada zipi kuushinda utumwa wa binadamu unaofanyika Libya? Au hadi Israel ihusike ndiyo tuone mabango kila kona?

    Unaweza kudhania hivi ni vipande vya filamu ila hizi ni picha za ukweli. Huyo binti hapo juu, mwenye asili ya Kihabeshi anaripotiwa kutekwa na kuteswa. Watekaji wanahitaji dollar 6000 ili aachiwe huru. Yupo katika mateso tangu may 2024. Hao wengine nyuma yake ni wahanga wa utumwa. Nina...
  4. Wanawake huwa hawachoki kuvaa nguo zisizowakaa vizuri na kuhangaika nazo muda wote ?!

    Katika mambo sijawahi kuyaelewa kwa wanawake ni hili la wanawake wanaovaa nguo zisizowakaa vizuri. Inakuaje mtu anasikia raha kuvaa nguo isiyomfiti, inayomshughulisha muda wote akiwa ameivaa?! Nini huwa kinawafanya wanawake wavae sketi fupi halafu waanze kuivuta vuta chini kila mara au wengine...
  5. Dkt. Biteko Ataja Jitihada za Serikali Kuboresha Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwaka 2015, Tanzania iliunga mkono Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya na kuharakisha utekelezaji wa Sheria za Afya za Kimataifa ili kuzuia magonjwa ya kuambukiza kusambaa kimataifa. Kupitia tathimini ya pamoja...
  6. Wataalam wa Afya waingia mtaani kufanya jitihada za kudhibiti magonjwa ya kuhara Mkoani Simiyu

    Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji wa Elimu Wilayani Itilima Mkoani Simiyu. Taarifa ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu imesema Elimu...
  7. Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili

    Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali Muziki wa Tanzania kuna ulazima wa kila mtanzania kuunga mkono jitihada zake za kukuza muziki wa...
  8. Rais Samia Aeleza Jitihada za Kufungua Mkoa wa Katavi kwa Miundombinu ya Barabara

    RAIS SAMIA AELEZA JITIHADA ZA KUFUNGUA MKOA KATAVI KWA MIUNDOMBINU YA BARABARA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kufungua Mkoa wa Katavi kwa kuboresha miundombinu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa...
  9. L

    SoC04 Jitihada ziongezeke katika kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania

    Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu aweze kutunza afya yake Vyakula vyenye afya vinaweza kusaidia kuboresha afya yako. Kula matunda na...
  10. SoC04 Jitihada za dharula zielekezwe katika kukuza TEHAMA nchini kwa manufaa ya kiuchumi na usalama wa taifa letu

    TEKNOLOJIA- SILAHA KALI YA ULIMWENGU MAMBOLEO. Ni ukweli usio fichika kwamba karne ya ishirini na moja imeshuhudia mabadiliko makubwa sana katika ukuaji wa teknlojia duniani. Sekta kama viwanda,kilimo na ata sekta za huduma kwa jamii kama hospitali na elimu zimenufaika na mageuzi haya ya...
  11. Hatimaye Bunge lapata wafuasi na wafuatiliaji ambao ni vijana. Niipongeze serikali kwa jitihada hizo

    Vijana ndio nguvu kazi ya taifa, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa serikali kuhakikisha kuwa nguvu hiyo ndiyo inayohusiswa kwa 100% ili mipango ya nchi ikae sawia Bunge la sasa si sawa na bunge la zamani. Bunge la miaka hiyo lilitazamwa sana na wazee huku vijana wa ovyo akiwamo mimi tulifuatilia...
  12. Siioni Simba SC ikishika nafasi ya Pili japo jitihada za Airtel Money na Magumashi zinafanyika mno

    “Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.” “Tangu nimekuwa msemaji wa timu yenu timu haijawahi kuja Arusha hivyo nikaona hii ni nafasi nzuri ya kuja tuonane. Nimefurahi kwa...
  13. Mtafutano wa mwanaume mwenye pesa, mwanamke mwenye hekima na jitihada

    KASUMBA YA WANAWAKE WANAOTAFUTA WANAUME WENYE PESA, WAKATI WAO HAWANA PESA Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kuna wanawake wamekuwa wakisikika wakitaja vigezo vya wanaume wanaowatafuta na moja ya kigezo ni awe na hela, mimi mtu ambae natafakari mambo nilijiuliza unaposema mtu...
  14. B

    Benki ya CRDB yaendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini

    Katika utekelezaji wa Sera yake ya Uwekezaji kwenye Jamii, Benki ya CRDB imeendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini. Jitihada hizo zimefanyika mkoani Manyara, katika Wilaya za Mbulu na Babati, siku chache kabla ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB...
  15. Wabunge wa CCM oneni aibu - saidieni jitihada za Rais kupitia ugawaji wa pikipiki kwenye kata

    Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake. Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko...
  16. MAGARI YAENDAYO KWA KASI PIA YAZINGATIWE

    Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya mikakati inayolenga kupunguza msongamano wa trafiki na kuboresha usafiri mijini. Hata hivyo, bado kuna...
  17. Jitihada za Kuboresha Huduma za Afya Jimbo la Igunga

    JITIHADA ZA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA JIMBO LA IGUNGA "... Tumekamilisha ujenzi wa Wodi ya Wagonjwa Mahututi (ICU) yenye uwezo wa kuhudumia Wagonjwa mahututi kumi kwa wakati mmoja, Tumekamilisha ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto yenye uwezo wa kuhudumia kina Mama na Watoto hamsini kwa wakati...
  18. Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili

    Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili "Lugha ya Kiswahili kwa sasa ni Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU). Kila tarehe...
  19. Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi

    Tuliambiwa mgao wa umeme sasa basi! Hali tangu jana ni hii, vipi nyie huko kwenu? ==============
  20. Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane. Iwe bhojo!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…