jitihada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbinu na jitihada muhimu za kuchukua pale unapopatwa na mafuriko

    Hivi karibuni tumeshuhudia nchi mbalimbali ziiathirika na majanga ya mafuriko na mioto ya msituni. Je ushajiuliza kama janga kama hilo likitokea eno lako hatua za kuchukua na hatua gani ya kuanza nayo? Nchi ambazo zina miundombinu bora lakini bado zimeathiriwa na mafuriko kama Ujerumani...
  2. M

    IGP Sirro jitihada za kudhibiti uhalifu wa CHADEMA zisiishie kwa viongozi, kamata na wafuasi wao wanaotaka kuharibu amani

    IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni. Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja...
  3. Tanzania ni moja ya nchi zaidi ya 50 zilizo kwenye orodha iitwayo "RED LIST". Serikali inafanya jitihada zipi kujitoa humo?

    Nchi zaidi ya 50 nyingi za kutoka mabara ya Afrika na Asia zimo katika orodha iiwtayo "RED LIST", Orodha hiyo iliwekwa kwa zile nchi ambazo hazitoi takwimu za kuridhisha juu ya idadi ya watu waloambikizwa ugonjwa wa Covid-19 na pia idadi ya vifo vilivyotokana na maambukizi ya ugonjwa huo...
  4. Kuna jitihada za kuinusuru SYMBION?

    π™·πšŠπš‹πšŠπš›πš’πš—πš’ 𝚠𝚊𝚍𝚊𝚞! π™Όπš’πšŽπš£πš’ πš”πšŠπšπš‘πšŠπšŠ πš’πš•πš’πš’πš˜πš™πš’πšπšŠ πš πšŠπš πšŠπš”πš’πš•πš’πšœπš‘πš’ 𝚠𝚊 πš”πšŠπš–πš™πšžπš—πš’ 𝚒𝚊 πš‚π™Ύπ™½π™Άπ™°πš‚ πš πšŠπš•πš’πš”πšžπšπšŠπš—πšŠ πš—πšŠ πš”πšžπšπšŠπš—πš’πšŠ πš–πšŠπš£πšžπš—πšπšžπš–πš£πš˜ πš—πšŠ π™±πšŠπš•πš˜πš£πš’ 𝚠𝚊 πš„πš‚π™° πš—πšŒπš‘πš’πš—πš’ πšƒπ™°π™½πš‰π™°π™½π™Έπ™° πš‘πšžπš”πšž πš’πš”πš’πšπšŠπš’πš πšŠ πš”πšžπš πšŠ πš‚π™Ύπ™½π™Άπ™°πš‚ πš–πš”πšŠπšπšŠπš‹πšŠ 𝚠𝚊𝚘 πš πšŠπš”πšžπš’πšžπš£πš’πšŠ πšžπš–πšŽπš–πšŽ πšƒπšŠπš—πšŽπšœπšŒπš˜ πšžπšπšŠπšπš’πš”πš’πšŠ πš–πš πš’πšœπš‘πš˜ πš–πš πšŠπš”πšŠ 2024, π™ΌπšπšŠπšž πšŠπš•πš’πš—πš’πš™πšŽπš—πš’πšŽπš£πšŽπšŠ πš‘πšŠπš‹πšŠπš›πš’ πš”πšžπš πšŠ πš–πšŠπš£πšžπš—πšπšžπš–πš£πš˜ 𝚒𝚊 πš”πšžπš˜πš—πšπšŽπš£πšŠ πš–πš”πšŠπšπšŠπš‹πšŠ πš”πšŠπšπš’...
  5. TCCIA yaunga mkono jitihada zinazofanywa na jiji la Arusha kuboresha maeneo yenye uoto wa asili ili kukuza utalii

    Chama cha wafanyabiashara Mkoa wa Arusha TCCIA, Kimeunga mkono jitihada zinazofanywa na halmashauri ya jiji la Arusha kwa kuyaboresha maeneo yote yenye uoto wa asili ili kukuza kivutio cha utalii katika jiji la Arusha. Akiongea wakati wa zoezi la kuboresha mazingira hayo lililoratibiwa na jiji...
  6. B

    Wamulikwe wanaotumiwa kudhoofisha jitihada za Rais Samia Suluhu

    Mabibi na mabwana, mama Samia kadhamiria kwa dhati kabisa kutuvusha salama kama taifa. Hii ni katika masuala yote msingi yakiwamo ya afya zetu na pia katika ujenzi wa taifa. Kuhusiana na afya zetu hasa gonjwa hili linalotikisa dunia, mama Samia aliteua tume ya wataalamu ambayo tayari imeshatoa...
  7. Mbunge: Jitihada zinazotumika kukamata wavuvi ni kubwa kuliko zinazotumika kuwawezesha

    Mhandisi Stella Manyanya amesema jitihada za Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika kukamata wanaotumia nyavu zisizofaa au kwenye masuala yanayohusu ukusanyaji mapato ni kubwa kuliko zinazotumika kuwawezesha Mbunge huyo wa Jimbo la Nyasa amehoji kwanini mikopo ya injini za boti isitolewe kwa mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…