Unaweza kuiita ni habari njema kwa watu wenye matatizo ya moyo, baada ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuanza kutibu wagonjwa wenye mishipa ya moyo iliyopasuka.
Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk Peter Kisenge ameeleza hayo leo, Novemba 23, 2023 jijini Dar es Salaam wakati akifungua...