Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) tayari wamewapima watu 500 ambapo kati ya hao 290 wamegundulika kuwa na changamoto mbalimbali za magonjwa ya moyo.
Takwimu hiyo ikiwa ni siku ya sita toka kuanza kwa maonesho ya madini ya Teknolojia yanayofanyika katika viwanja vya Bombambili mkoani Geita...
Katika kuadhimisha siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2023 yenye kauli mbiu "Tumia Moyo, Kulinda Moyo wako" wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Tanzania (TCS) watatoa huduma ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa...
Watu 335 wamepata huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo kwenye kambi maalumu ya matibabu ya siku mbili iliyomalizika jana katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group.
Kaimu Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dkt.Tulizo Shemu alisema matibabu hayo ya tiba mkoba yajulikanayo...
Wananchi zaidi ya 7000 wafikiwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo kupitia huduma ya tiba mkoba ijulikanayo kama Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services inayofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete...
Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto watano kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushiriki Kongamano la nane la dunia la watoa huduma za matibabu ya magonjwa ya moyo kwa watoto linalofanyika nchini Marekani.
Kongamano hilo linatarajiwa kuanza tarehe 28 agosti hadi 3 septemba...
Jane Chimuyaka, raia wa Nchini Malawi aliyekuwa akisumbuliwa na Magonjwa ya Moyo ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Tanzania kwa kuanzisha matibabu ya moyo nchini kusaidia wagonjwa wa moyo waliopo Tanzania na nchi za jirani.
Jane aligundulika kuwa na matatizo ya moyo kupitia kambi maalum ya...
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Mwanaume aitwaye Mohamed Njali kwa kosa la kumbaka na kumuua kwa kumkaba Atika Chesco Kivanule (24) September 25, 2022 saa saba usiku wakati Mumewe akiwa kwenye banda la video kutazama pambano la ngumi la Mandonga vs Salim Abeid...
Wataalamu wa magonjwa ya moyo 100 kutoka Kurugenzi ya Upasuaji ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamepatiwa mafunzo ya kuongeza ujuzi wa jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya...
Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge katika Mkutano wa Waandishi wa Habari Uliofanyika Kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari - Maelezo, Dar es Salaam Tarehe 18 Julai 2023.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeibuka mshindi wa kwanza katika kundi la watoa huduma za afya, vifaa tiba na teknolojia ihusuyo afya wakati wa maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi...
Ili ziweze kutoa huduma kwa ubora na kuipa Muhimbili eneo kubwa mle kuwa na taasisi zaidi ya moja pamesababisha kuwa na msongamano ambao mpaka sasa umesababisha magari kuanza kulipia
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau tatu kwa siku ili kujilinda na ugonjwa wa moyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk Peter Kisenge amesema hayo leo Jumatatu...
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Dkt.Tulizo Shemu akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mashine mbili za kisasa za kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiogram – ECHO) zilizofungwa...
Mkurugenzi wa Msama Promotions na muandaaji wa Matamasha ya Injili nchini ambaye ni mdau mkubwa wa maendeleo ya sanaa Alex Msama amelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) akisumbuliwa na maradhi.
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Mkurugenzi huyo amesema siku chache baada ya kumalizika...
Wananchi wanateseka sana wanagungushwa sana hope wanataka rushwa, ndio kama sio rushwa nini? Huyu mgonjwa ni moja ya wagonjwa wanaoteseka sana ingawa tukiwa pale nimeona kundi kubwa, ipo hivi?
Kwanza Jack alipima vipimo mwaka jana kuelekea Krismas, then tukaambiwa vipimo vimepotea anatakiwa...
Serikali imeagiza Hospitali ya Dar Group iliyochukuliwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ijikite katika matibabu ya moyo ya watoto chini ya miaka 15, huku ikitoa maelekezo kwa taasisi hiyo kwenda kuwekeza katika Hospitali ya Chato.
Dar Group ambayo ilikuwa chini ya Wizara ya Fedha kwa...
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesema asilimia 60 ya watu wanaowapokea wanakuwa wamefikia hatua mbaya ya magonjwa ya moyo, kutokana na kuishi muda mrefu pasipo kutambua hali zao, hivyo kujikuta wakilazimika kutumia gharama kubwa zaidi kwenye matibabu, ambazo zingeweza kupungua...
MWANAUME anatakiwa kunywa uniti mbili za bia sawa na chupa mbili wakati mwanamke anapawa kunywa unit moja ambayo ni sawa na chupa moja ili kuepuka magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo Moyo.
Hayo yamesemwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Tatizo...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema rushwa katika sekta ya afya imefikia hatua mbaya kwani sasa madaktari wanaombana Rushwa hata wao kwa wao.
Waziri Ummy amesema hili halikubaliki kabisa.
Aidha Waziri Ummy ameishauri bodi ya Kituo cha moyo cha Jakaya Kikwete kuhamia Mloganzila ambako wanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.